Je, Wema Sepetu atakubali kuwa mke wa Nabii Tito?

Wema amemsikia nabii, masharti yanazingatiwa

Answer loading .... wait please
 
Toka nimeanza kumuona nabii tito akihubiri 2009 samora avenue, sijawahi kumuona kashikilia ama kunywa bia nyingine yoyote tofauti na SAFARI LAGER! NAHISI ANAPEWA FUNGU LA KUMI NA TBL! ILI KUITANGAZIA SOKO SAFARI!
 
huyo amuoe nani? Bora alivyokamatwa
 
Uzuri yuko nguvuni tayari
 
Nimerejea baada ya kula ban kufuatia kuweka topic inayohusu nabii tito.Nadhani mod aliyenipiga ban ni mfuasi sugu wa nabii tito. Huyu nabii wa kuzimu amekuwa akipotosha watu kwa muda mrefu sana lakini nashangaa akiguswa tu wafuasi wake wanakuwa wakali kama pilipili. Inauma sana.
 
Huyu nabii anajua kwamba watanzania wamepagawa na ugumu wa maisha, hivyo ujinga wowote atakaowaambia watamfuata. Inasikitisha kwamba kuna watanzania wenye akili zilizotimia wanaofuata mahubiri yake. Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utasikia ya watanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…