Je, wengi hawapendezwi na gari aina ya Toyota Vista?

zhang laoshi

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
434
Reaction score
581
habari wadau me cjawahi kumiliki gari ila nafatilia sn magari, kuna hii aina ya Toyota vista, zipo chache sana barabarani ni gari nzuri yenye space, cc 1990, custom ndani, muonekano mzuri., ila kwann wengi wanazikwepa?, au upatikanaji wa spare ni mgumu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha haa. Porte sina noma nayo... It looks so funny!
[emoji12][emoji12]anyway...hatufanani katika suala la kipendacho roho....nikiwaza ule mlango wa abiria...basi hamu yote inaniisha...kingine ike dash ilivyowekwa center...hapo ndipo nilipoichoka porte, raumu, Ist, vitz, x trail, fun cargo, sienter, Noah new model pamoja na voxy na nyinginezo......



Sent using Jamii Forums mobile app
 
dash board center si mpango,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari zenye dashboard kati kati ukoo mzima unaona jamaa sasa hivi yupo 140 km/h mama mkwe anakwambia baba punguza spidi..hatuna haraka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…