Mimi na wa kwangu tupo kimapenzi.assalam alaykum ndugu Zangu mnaendeleaje na swaum mimi leo nilipenda kujua wanawake mpo kwenye makundi gani katika mahusiano maana kuna wengine wapo kwenye mahusiano kwa ajili ya mali baada ya mali kyuisha anasepa na mwingine yupo kwenye mahusiano kwa ajili ya kazi zake mfano mpelelezi ambaye anafanya uchunguzi baada ya kazi anaondoka sasa nataka kujua ni kwanini
ila unampenda kweli?
wapelezi tena!hapo sijaelewaassalam alaykum ndugu
Zangu mnaendeleaje na swaum mimi leo nilipenda kujua wanawake mpo kwenye
makundi gani katika mahusiano maana kuna wengine wapo kwenye mahusiano
kwa ajili ya mali baada ya mali kyuisha anasepa na mwingine yupo kwenye
mahusiano kwa ajili ya kazi zake mfano mpelelezi ambaye anafanya
uchunguzi baada ya kazi anaondoka sasa nataka kujua ni kwanini
Tafanyaje sasa wanaamua kuwa marioo, maisha magumu nanyinyi mnataka mambo makubwa dawa ni kupiga pamba na kujitahidi kwenye gameMe fundi cherehani wangu niko nae kimahaba, kihuba huba zaidi' cuz i knw cku hz hakuna wanaume wenye pesa, ni makapuku tu yanapiga pamba ukiloba inakula kwako. Bora HUBA