N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Na je, una gharama nafuu, uko certified!?. Njoo tuyajenge kuna kazi ya ghorofa moja Bunju Moga wiki ijayo kazi inatakiwa ianze. Kila kitu kipo tayari, material, labour fees, permits, vitendea kazi, saruji nk. Njoo chapchap DM tujadili na ulete offer yako.
Foundation ni 17×21 katika vipimo vya Mita.
Foundation ni 17×21 katika vipimo vya Mita.