Yes ni fundi....Nishajenga ,nipe kazi.Na je una gharama nafuu, uko certified!?. Njoo tuyajenge kuna kazi ya ghorofa moja Bunju Moga wiki ijayo kazi inatakiwa ianze. Kila kitu kipo tayari, material, labour fees, permits, vitendea kazi, saruji nk. Njoo chapchap DM tujadili na ulete offer yako.
Foundation ni 17×21 ktk vipimo vya Mita.
Nipe tender ya pavers na frame & panel za milango mzeyaNa je, una gharama nafuu, uko certified!?. Njoo tuyajenge kuna kazi ya ghorofa moja Bunju Moga wiki ijayo kazi inatakiwa ianze. Kila kitu kipo tayari, material, labour fees, permits, vitendea kazi, saruji nk. Njoo chapchap DM tujadili na ulete offer yako.
Foundation ni 17×21 katika vipimo vya Mita.
Fundi chuma unaye mkuuNa je, una gharama nafuu, uko certified!?. Njoo tuyajenge kuna kazi ya ghorofa moja Bunju Moga wiki ijayo kazi inatakiwa ianze. Kila kitu kipo tayari, material, labour fees, permits, vitendea kazi, saruji nk. Njoo chapchap DM tujadili na ulete offer yako.
Foundation ni 17×21 katika vipimo vya Mita.
Mm ni fundi mzuri na mkongwe pia.Na je, una gharama nafuu, uko certified!?. Njoo tuyajenge kuna kazi ya ghorofa moja Bunju Moga wiki ijayo kazi inatakiwa ianze. Kila kitu kipo tayari, material, labour fees, permits, vitendea kazi, saruji nk. Njoo chapchap DM tujadili na ulete offer yako.
Foundation ni 17×21 katika vipimo vya Mita.