tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
mimi ni mnafiki, siwezi kufurahia mapenzi ya watu wawili wasiopaswa kuwa pamoja,mfano: nina rafiki na uhusiano unaoonekana wenye mapenzi ya kweli na baba wa rafiki yetu mwenye mke wake na familia kubwa tu,baba hatimizi majukumu yake hadi watoto wanalalamika lakini hawara anafanya yote kama mtumwa na amezaa nae February,how on earth am i suppose to be happy for them?
Imekuwa ni kawaida kuwasikia wapenzi wakisema "wanafiki hawapendi tunavyopendana",, "wanataka kutogombanisha", "kuongea kawaida yao", na mengine mengi? Hivi ukipendana na mtu ni lazima wawepo watu wasiopenda? Hawa wanafiki ni akina nani?

Ruta inaonekana ushafikisha wanne! hahahaha! maana ulivyoelezea kwa kina!HTML:mimi ni mnafiki, siwezi kufurahia mapenzi ya watu wawili wasiopaswa kuwa pamoja,mfano: nina rafiki na uhusiano unaoonekana wenye mapenzi ya kweli na baba wa rafiki yetu mwenye mke wake na familia kubwa tu,baba hatimizi majukumu yake hadi watoto wanalalamika lakini hawara anafanya yote kama mtumwa na amezaa nae February,how on earth am i suppose to be happy for them?
Haya siyo mazingira ya unafiki..............kwa sababu hakuna mahali ambapo umeshabikia mbele yao lakini moyoni kwako uko vingine.....................................................na nyongeza ya hapo ni kuwa possibly you are too judgmental........................mwanaume aliumbwa awe na wanawake wengi hizi ndoa za mke mmoja.....one man one wife zilikaririwa na mtume mmoja tu katika maandiko matakatifu na wala siyo sheria ya Mwenyezi Mungu katika zile sheria alizompa Nabii Musa....................hata Mtume paulo aliyetoa hii sheria alisema one man one wife will minimize sexual immorality....................lakini hakuna aliposema haya ni maelekezo ya Roho Mtakatifu.............Jiulize kwa nini Mwenyezi Mungu kwenye utakatifu wake huumba wanawake wengi kuliko wanaumme.....................tukifuata hiyo sheria ya one man one wife basi wapo akina dada zetu wataishi hadi kufa bila ya kupata mwandani wao...........................it will be a tragic case of loneliness...........and trauma..................................kwa hiyo jifunzeni kubanana banana bila ya kuwa na wivu au unafiki.................it is God's will......................look at Abrahamu, Isack and Jacob they were all a product of polygamous relationships yet God did nto abandon them......................
Imekuwa ni kawaida kuwasikia wapenzi wakisema "wanafiki hawapendi tunavyopendana",, "wanataka kutogombanisha", "kuongea kawaida yao", na mengine mengi? Hivi ukipendana na mtu ni lazima wawepo watu wasiopenda? Hawa wanafiki ni akina nani?
Imekuwa ni kawaida kuwasikia wapenzi wakisema "wanafiki hawapendi tunavyopendana",, "wanataka kutogombanisha", "kuongea kawaida yao", na mengine mengi? Hivi ukipendana na mtu ni lazima wawepo watu wasiopenda? Hawa wanafiki ni akina nani?
ninavojua mtu mnafiki ana sifa kuu 3! 1. Akizungumza husema uongo 2. Akitoa ahadi hatimizi 3. Akiaminiwa hufanya hiyana. mfano tumekuamini tumekupa kodi zetu badala ya kuzitumia inavopaswa unaikanja(unaitafuna). Linganisha sasa na hao watu wako, jubu unalo mwenyewe.
[/B] [/COLOR]
Huwezi amini, hata ndugu au rafiki zako wa karibu wanaweza kuwa wanafiki wenyewe.
ninavojua mtu mnafiki ana sifa kuu 3! 1. Akizungumza husema uongo 2. Akitoa ahadi hatimizi 3. Akiaminiwa hufanya hiyana. mfano tumekuamini tumekupa kodi zetu badala ya kuzitumia inavopaswa unaikanja(unaitafuna). Linganisha sasa na hao watu wako, jubu unalo mwenyewe.
....wewe mwenyewe ni mmoja ya hao wanafiki.... Jichunguze vizuri.