Je, wewe ni Mjasiriamali?

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Kama wewe ni mjasiriamali unataka kuanza biashara hii inaweza ikakufaa,
Karibu...

Biashara ya kuku wa kienyeji.
Hii ni biashara inayolipa sana kama utafanya kwa juhudi haihitaji mtaji mkubwa. Na faida yake/mafanikio hupatikana ndani ya muda mfupi kwa kuwa soko ni la uhakika kama utauza kwenye masoko au kwenye mahoteli.

Unahitaji kuku wa kienyeji?
-Bei ya majike (mtetea) Tsh10,000-Tsh14,000
-Bei ya majogoo Tsh14,000-Tsh18,000
-Bei ya vifaranga Tsh7,000. Bei hizi ni kwa jumla na si rejareja, atakayechukua kuku wengi atapata punguzo la 3% unaweza kuagiza kuanzia kuku 50+ na ukatumiwa ukiwa kwenye mikoa ya Singida, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Dar es salaam tu.
 
kifaranga shilingi 7000??? harafu bei ya kuuza kuanzia 10000 daaa kuna faida kweli hapo?? hao viranga wana umri gani kwani na kuwafuga mpaka wafikie umri wa kuuzwa ni mda gani ?? na nigarama gani??.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…