Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 21 nimehitimu kidato cha 4 nina kipaji cha muziki ila
sijapata mtu wa kuisaidia kuendeleza kipaji changu niko tayari kufanya kazi chini ya lebo ya mtu binafsi hivyo yeyote aliyetayari kunisaidia naomba tuwasiliane kwa 0752991187 au
hmeshack@yahoo.com