Je wewe ni mtumiaji wa internet fursa hii inakuhusu

Dream big

Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
68
Reaction score
14
deleted[TABLE="class: Msonormaltable, width: 103"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Closed
 
Bado sana,unatumia vocabulary ambazo sizijui...ila infact I'm serious about that business na niko guaranteed that why nimetoa na namba za simu
 
Hujaelewa nini hapo ? Haya ngoja nikuambia mimi WAZEE WA LUMUMBA at work

Bado sana,unatumia vocabulary ambazo sizijui...ila infact I'm serious about that business na niko guaranteed that why nimetoa na namba za simu
 
Kiingereza chenyewe tu hakijaenda shule, utatoa vipi fedha kwa ajili ya service hiyo?

Hao Wanaijabongo (nimeipenda hii) angalau wangefanya investment ya kumlipa mtu awaandikie kienglish kizuri basi.
 
Ungeiandika Kiswahili ingeeleweka vizuri zaidi hata siku hivyo zote internet,mawasiliano ya simu za mkononi si salama kama wengi wanavyofikiri.
Kuhusu keylogger niliwahi dokezwa na mdau mmoja ya kuwa ni software unayoweka katika kompyuta yako/zako na kila atakayeingia patakuwa na kumbukumbu zinazowekwa.yeye alinishauri ya kuwa nisipende kutumia kompyuta za watu wengine kwani inawezekana nikatumia ambayo imekuwa installed na keylogger.
La pili na la muhimu ni kuhakikisha tunapeleka kompyuta kwa fundi anayeaminika kwani wengine hupekua hata yasiyo wahusu.
 
Pamoja na hayo Duniani Nzima ina watu bilion saba na haiwezekani kuwa wote wanatumia hio intarnet! Huo ni uongo
 
siko kwa ajili ya kubishana,lengo nikutoa fursa kwa wale wanao hitaji,other wise asanteni kwa kuchangia Naomba kuwasilisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…