Nimemaliza masomo yangu ya shahada ya uzamifu. Nina knowledge katika mambo mbalimbali hasa upande wa sayansi asilia (natural science). Kama sehemu ya kumshukuru Mungu kwa mafanikio ningependa kusaidia mtu yoyote ambaye anataka msaada katika masomo yake (hasa wale wanaosoma wakiwa watu wazima, kuandika research proposal n.k na mwongozo wa nini ufanye). Kama wewe unashida ya namna hiyo tuma PM. Kusaidiwa kutategemea na aina ya shida uliyonayo.
Angalizo: Nitakuelekeza jinsi ya kufanya na sio kukufanyia!!!!