Je, wewe ulijiandaa kwenye mahusiano?

ha ha ha inaweza ikapotea kabisa na isionekane
🤣🤣🤣🤣🤣haiwezi kupotea bwana,ila mazoezi lazima ifanye kwa afya lakini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
ha ha ha huyo wa kufanya naye mazoezi anapatikanaje?
 
Naamka kuna siku najikuta nipo katika mahusiano kuna siku naamka najikuta sipo ktk mahusiano
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…