Je, WhatsApp yako imefungiwa? Fanya haya

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610

Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban ? Unafanyaje kujiondoa?

Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii inakutokea kwa sababu umevunja sheria na taratibu za Whatsapp ndo maana umefungiwa namba yako kutumia Whatsapp.

Kuna aina mbili za kufungiwa kwenye Whatsapp
๐Ÿญ. T๐—ฒ๐—บ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฟ๐˜†
๐Ÿฎ. P๐—ฒ๐—ฟ๐—บ๐—ฎ๐—ป๐—ฒ๐—ป๐˜

1๏ธโƒฃ ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐—ฟ๐˜†
Kawaida unafungiwa kuanzia nusu saa , 1hr ,2hr, 8 mpaka 24hrs. Ila baada siku au masak kadhaa unarudishiwa akaunti yako na kuendelea kutumia kama kawaida.

2๏ธโƒฃ ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฟ๐—บ๐—ฎ๐—ป๐—ฒ๐—ป๐˜
Hii ikikutokea bhana daah inabidi ufanye kazi kidogo maana huwa unafutiwa chati zako , alafu ukijiunga unakua kama unaanza upya vile maana unaondolewa kwenye ma groups yote uliyokuwepo kwenye Whatsapp.

๐—ฆ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐—š๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ
โ€ข Kutuma sms nyingi kwa watu kwa wkati mmoja
โ€ข Kutuma sms inayojirudia rudia kila mara ndani ya kipind kifupi
โ€ข Kutumia app zingine za Whatsapp gb , fm nk
โ€ข Kutengeneza ma groups mengi ya Whatsapp ndani ya muda mfupi
โ€ข Kutuma link zisizo salama kwa watu
โ€ข Kupigwa block na watu wengi inaonekana sio mtu mzuri kwenye jamii.

Jinsi ya kunondokana Permanent Ban

Kwanza tumia ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ผ๐—ณ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ๐—ถ๐—ฎ๐—น toka soko la play store alafu ukimaliza Sasa inabidi ufanye mambo yafuatayo ili kuwa salama ๐Ÿ‘‡

Kama umepigwa Whatsapp Permanent Ban fanya hivi chukua hii email ya ๐˜€๐˜‚๐—ฝ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜@๐˜„๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ.๐—ฐ๐—ผ๐—บ
Kisha fungua email yako usitumie email hii ๐Ÿ‘‡
๐˜€๐˜‚๐—ฝ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜@๐˜€๐—บ๐—ฏ.๐˜„๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ.๐—ฐ๐—ผ๐—บ haifanyi kazi utakesha.

Fungua email yako kisha andika kuwa unajua umekosa kuwa uliweza kufanya jambo ambalo ukutegemea kama utafungiwa akaunti yako kisha tumia hii email kuwatumia changamoto yako
๐˜€๐˜‚๐—ฝ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜@๐˜„๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ.๐—ฐ๐—ผ๐—บ

Baada ya saa 4 mpaka 24hrs pia unaweza kupelekwa ata siku mbili tatu kuweza kufunguliwa akaunti yako hakikisha unaweka na namba ya simu ambayo imefungiwa kutumia Whatsapp.

Jitahidi kutumia official Whatsapp ni salama kwako kuliko Gb Whatsapp?? Vipi wewe ukipigwa banned unafanya kitu Gani tuachie maoni yako?

Credit: Bongo Tech
 
Shukran @Bongo Tech kwa ujumbe huu huhusina na WhatsApp.
 
Nilipigwa ban nikakaa muda mrefu bila kutumia whatsapp nikaidelete kabisa app yao hadi juzijuzi tu hapa nikasema ngoja nijaribu kama wamenifungulia nikakuta ipo active!!
 
Hakika Teknolojia ni Yetu sote [emoji3589][emoji3589]
 
Daah Mimi nipo Kwenye temporary sasa nifanyeje mkuu
๐Ÿ˜ญ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ