nightwalker
Member
- Jan 29, 2020
- 51
- 75
CHUKI NI NINI?
Chuki ni ile hali ya mtu kuwa na muitikio mkali hasi kwa mtu/watu fulani au mawazo ambayo kwa kawaida uhusiana na upinzani mkali uliopitiliza.
AINA ZA CHUKI
1. CHUKI KWA UJUMLA (GENERAL HATE)
Aina hii ya chuki huweza sababishwa kwa tishio, uwoga, kuathirika, kutoaminiana au kupoteza mamlaka, mfano wa aina hii ya chuki "una baba mlevi, kila anapokunywa pombe anakutendea vitu viovu, unaweza jikuta unamchukia baba yako mlevi na pombe kwa ujumla".
2. KUJICHUKIA (SELF HATE)
Hii hutokea pale unapojiwazia mambo hasi au watu wanao kuzunguka kukuzungumzia mambo hasi, pia kujichukia kunaweza tokea pale unaposhindwa kufikia matarajio ambayo wewe au wengine wanayo kwako, mfano utendaji wako wa kazi kazini au shuleni.
3. CHUKI YA KIMFUMO (SYSTEMATIC HATE )
Hii ni aina ya chuki kwa jamii moja kwa nyingine mfano, chuki dhidi ya wageni, ukabila, dini na nk.
JE CHUKI HUPELEKEA NINI KUTOKEA?
Chuki mala nyingi hupelekea uvunjifu wa amani na vulugu kwasabababu chuki hufanana na hisia kali kama vile hasira na fedhea ambayo yote huleta
madhara kwa jamii au watu fulani.