Je yanga akimtoa zalan ??

macro

Senior Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
115
Reaction score
122
Je yanga akimtoa zalan fc na yeye ( yanga) akatolewa na Al hilal au St George ataangukia shirikisho au ndio imetoka hiyo??


Similarly to Simba??
 
Je, na Al Hilal akitolewa na Nyasa Big Bullet anaelekea wapi? Maana kuna sehemu nimesoma, kocha wao anajiamini kweli!
 
yanga haiwezi kumtoa zalan.
Mm ni simba ila ni wazi kabisa Utopolonyi watampiga nyingi huyu msudan ...maana hawa jamaa tayari washa omba mechi zote wachezee dsm

Mie naona CAF ni wajinga sana kuikubalia timu kama ile icheze michuano ya CAF CL yaan ni aibu club inatumia kiwanja hakina ata nyasi hii ni aibuuu
 
Yanga Kapewa Wa Kigango chake Zalan, preliminary atapita Ila Sasa hapo pa kukutana Na AL Hilal ndo itakuwa 'Kalale pema peponi Kamanda'...!
Isipokuwa advantage aliyonayo Yanga akiingia Makundi Hata shirikisho itakuwa ni Mafanikio makubwa Sana...Kwa 'Simba Akiingia Makundi Sio Mafanikio tena Bali ni kuvuka Robo fainali...
 
CAF wanakosa gani kama vigezo ni kua bingwa kutoka kwenye nchi mwanachama ?
 
Hua mnaviherehere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…