Je, Yanga kumpoteza Gamondi na Max!?

Wachambuzi uchwara mshaanza na mikopo yenu kujiondolea maumivu ya kono la nyani.
Usiwe mkurupukaji mzee. Sio kila anayeandika kuhusu taarifa ambayo hupendi kuisikia basi si mmoja wenu. Usipende kusikia yanayokufurahisha tu.

Mchezaji kusajiliwa kwa mkopo si dhambi. Mimi si shabiki wa timu unayoisema
 
Lete hapa huo mkataba wake tuone,au lete voice note ya Kiongozi wa Yanga akisema kuwa kasajiliwa kwa mkopo. Halafu acheni shobo na kutafuta umaarufu kupitia Yanga.
 
Weka ushahidi wa mkataba hapa,la sivyo wewe ni kolo kono la nyani.
Wewe una mkataba unaonyesha hajasajiliwa kwa mkopo utuonyeshe hapa dunduka?

Msitumie hasira kwenye vitu vidgo. Kusajili kwa mkopo bado ni usajili tu na mchezaji atasemwa amesajialiwa na ataipa timu manufaa kwa wakati aliopo
 
Acha blah blah wewe kolo,weka hapa ushahidi. Kama huna ushahidi kaa kimya.
 
Acha blah blah wewe kolo,weka hapa ushahidi. Kama huna ushahidi kaa kimya.
Sijawahi kuwa hiyo timu unayoisema. Nimekuwa shabiki na mpenzi wa Yanga for almost 30 years. Furaha ikikuzidi sana inaondoa utashi wa kufikiri. Hongera sana mzee .

Ila kama una ushahidi wa Maxi kuwa hayuko kwa mkopo kwenye timu yetu kwa miaka miwili utuletee hapa.
 
Nabi na Mayele hawapo Yanga, kama unavyoimba hii pambio leo, ndivyo utakavyoimba mwakani wakati hawapo.
 
sera ya al ahly ni tofauti sana,hawawezi kuja kumchukua gamondi wala max,ukumbuke gamondi amefundisja muda mrefu sana afrika kaskazini na kipindi chote hicho ahly hawakuwanna shida nae na hata alivyorudi kwao,pia hawakumfuata,hivyo hawawezi kumchukua kwa sasa,wao wanataka kocha mwenye viwango vya juu sana
 
Kwenye mpira haiko hivyo. Gamondi akifanya vizuri na Yanga champions league hata hao Ahly watataka kuwa naye hakuna linaloshindikana. Kwani kilichowafanya wamchukue kocha Pitso na mchezaji Percy Tau toka Mamelody ni nini?
 
Nabi na Mayele hawapo Yanga, kama unavyoimba hii pambio leo, ndivyo utakavyoimba mwakani wakati hawapo.
Maxi hawezi kuondoka mwakani wala Gamondi. Ila baada ya hiyo miaka miwili inawezekana. Na hilo sio ajabu kutokea kwenye mpira.

Hii Yanga itavurugwa tu labda siku akiondoka Gsm na Eng Hersi Said akichukuliwa na mama namba moja akaitumikie nchi.
 
Walitufunga 5 tukiwa pungufu wwchezaji 2,timu yenyewe ilikua mbovu na tulikua ndani ya mgogoro,wao tumewafunga ikiwa hiki ndio kikosi chao cha dhahabu wanachotamba nacho na kudanganyana wao timu kubwa afrika 😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…