Je, Yanga wataweka rekodi mpya msimu huu!!???

Ngasa hayupo, Beno hayupo, Ajibu hayupo, wanatamani kuropoka wananunua mechi ila wanakukumbuka ni juzi juzi tu wamewadhihaki hawana pesa hata ya msosi.

Jiweke katika nafasi ya Mbumbumbu Fc halafu imagine msongo mkali anaopitia.
 
Baada kuwa wazalendo kwa Mbabane Swallows na mkaambulia patupu..Sasa mmehamia kwa Nkana FC. Na mtahama sana [emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]

Ambianeni Simba SC, habari nyingine
Nani aliyekipofu wa kushindwa kujua kuwa safari yenu CAF haifiki mbali..

Just imagine kama Magufuli tu analijua hilo wewe ni nani ubishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…