Je yanipasa kulipa kisasi???


Kaka angu! huna haja ya kulipa kisasi, huyo aliyekuwa mpenz wako,hakuwa stable,hakuwa na mapenzi ya dhati kabisa, mshukuru Mungu kwa kukuonyesha hayo mapema, sababu kama angekuonyesha baada ya marriage,ingeuma sanaaa.We mshukuru Mungu umeepuka hizo karaha za huyo aliyekuwa mpenzi wako,maana kama ungeingia naye kwenye ndoa angekuaibisha na kukuharibia raha ya ndoa. Asungeweza kuwa mke mzuri kwako.
Kuhusu huyo rafiki yako na huo umalaya wake, achana naye,THE WORLD WILL TEACH HIM. Wala usimtafute huyo mpenz wake umtongoze ,MAINTAIN THY DIGNITY AND MOVE ON
WE endelea tu na maisha yako, jishughulishe zaidi ktkt kazi zako, be cool ,Mungu si athumani, atakujaalia kupata ubavu wko, utakayekupenda kwa dhati,the way you are! Pole saana kwa yote brother! IT HURTS/PAINS, BUT LET IT GO,FOR YOUR OWN GOOD,SEEK NO VENGEANCE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…