akilimtindi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2008
- 421
- 83
Inawezekana kabisa. Wales- Katika Uingereza wanalo hiuo jambo na linafanmkiwa sana tu. Jamii inafurahi na Serikali inafurahi. It is possible.Nimetatizika sana kuhusu mamlaka ya polisi wetu n uwajibikaji wao, naomba wanasheria watushauri kidogo sehemu hii. Je, kuna uwezekano wowote wa kuanzisha kitengo cha polisi jamii kitachofanya kazi huenda kama ya kuwahoji watuhumiwa na kuleta habari zisizokinzana kwa umma kuhusu matukio?
Je, inawezekana kuanzisha NGO itayohusika kupitia labda kazi waliyofanya polisi na kuchambua ukweli na pumba ili kuwafunulia wananchi kile ambacho hawakijui?
Je, inawezekana kuanzisha kampuni ya ku-audit kazi za polisi kama vile Sirkali inavyoita kampuni kama Ernest & Young kukagua mahesabu ya BOT? naombeni msaada hapo
Nakushukuru sana mkuu maana swali lingine nililotaka kuuliza ni kama kuna nchi iliyowahi kujaribu hili na mambo yalikuwaje, umenipatia mfano mzuri mkuu. Je, kwa hapa Tanzania inawezekana hii kweli...???Inawezekana kabisa. Wales- Katika Uingereza wanalo hiuo jambo na linafanmkiwa sana tu. Jamii inafurahi na Serikali inafurahi. It is possible.
Tumia tu kichwa cha habari kama swali lenyewe mkuu, hizo zilizomo ndani ni alternative nilizofikiria labda zaweza kusaidia kama ya kwanza haitofaa. Hata hivyo nimeambiwa kuwa inawezekana, kwahiyo fuata kichwa cha habari mkuu.kichwa cha swali lako hakihusiani na swali lako la ndani; so ni nini hasa unataka kujua?
Nimetatizika sana kuhusu mamlaka ya polisi wetu n uwajibikaji wao, naomba wanasheria watushauri kidogo sehemu hii. Je, kuna uwezekano wowote wa kuanzisha kitengo cha polisi jamii kitachofanya kazi huenda kama ya kuwahoji watuhumiwa na kuleta habari zisizokinzana kwa umma kuhusu matukio?
Je, inawezekana kuanzisha NGO itayohusika kupitia labda kazi waliyofanya polisi na kuchambua ukweli na pumba ili kuwafunulia wananchi kile ambacho hawakijui?
Je, inawezekana kuanzisha kampuni ya ku-audit kazi za polisi kama vile Sirkali inavyoita kampuni kama Ernest & Young kukagua mahesabu ya BOT? naombeni msaada hapo
Basi kama swali ni kuanzisha Polisi Jamii isiyohusiana na serikali, jibu ni hapana. As a matter of fact nimekuwa na feelings kuwa his security firms tulizonazo haziruhusiwi kisheria na Kikatiba.