Hivi inawezekana mtu (mume/mke) kuishi peke yake bila mwenzi na akawa na furaha mpaka kufa kwake?
Popo unamiasira sana! Kumbe single ni better na ndoa chanzo cha matatizo na hasa stress...
Ngumu ! Itakua unaifisadi itifaki ya kanuni ya maumbile ! Kila organ iliyo mwilini mwa binadamu ina kazi maalum, na si decoration! (kazi maalum kwa matokeo maalum)
Upweke utamtesa maana upweke nayo ni roho au atajikuta anaishi maisha ambayo ni perculiar!!!!!
Kweli mkuu ndoa inaleta stress, lakini usipo oa uhakikishe una watoto wako kama wawili/tatu wakukuondolea upweke.