Je yupi anajua mapenzi zaidi,wa bara au wa Pwani?

Magulumangu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
3,051
Reaction score
461
mimi natoka huko kwa The Don Ngosha,nakumbuka sana wakati tuko wadogo tulikuwa tunaenda ziwani kuogelea lake Victoria huko mazoo..mabinti with mama zao au waliowatangulia huwa walikuwa wakienda kupractise love making au how to handle mwanaume,kazi ilikuwa inaanza hivi....
Bindi huwekwa chini na kupewa somo ambapo one of the woman alikuwa akijifanya kama man,Binti hulazwa chini na kufundishwa lot of styles ila nzuri na iliyokuwa inatuacha hoi ni pale Binti alipokuwa akilazwa chini kiuno kinainuka tulikuwa tunaita mbenuko kati,kinawekwa kitu kwa kisukuma kinaitwa LUMAMBO kwa kiunoni na mjimama unakuja juu unaanza fanya mambo yake kama mwanaume sasa binti anaambiwa asimlete yule jamaa aanguke au yeye kulala maana ule LUMAMBO utamchoma kiuno,kazi hufanyika kila siku mpaka anakuwa mzoefu,hiyo inaitwa KUPETA kama ungo,swali je pwani inakuwaje na how they practice all these?
 
Mie niko kwenye mfungo hata sijui nijibu nini...
 
Hahahahah mfungo mwema 1st lady, itakuwa vizuri wakati wa mfungo uishie kwenye siasa tu ukimaliza mfungo utarudi huku na kule kwingine 😉
 
Huko kwenye siasa si ndiyo hatari kabisa akisikia JK kasafiri tena si anawezaudhika na mfungo ukaharibika?aende kule kwenye nafasi za kazi,dini au kwenye jukwaa la biashara,lol
 
Kwenye hoja,ndugu suala la mapenzi ni maana pana

Kama unaongelea suala la kitandani tu basi inategemea na utundu wa mtu.Anaweza akawa amefundwa lakini akaishia kukopi na staili ikawa hiyo hiyo kila siku miaka 20 bila ubunifu au utundu bado si shwari
 
mkuu nimekupata swali langu kama watu wanavyosema,Tanga ndo mapenzi yalikoanzia na tanga ni pwani ukija dar nako husema mie mtoto wa mjini nayajua mapenzi bwana...
 
Ni utundu tu, unaweza kukuta hata Mhadzabe ambaye ni kiboko, ukashangaa
 
eeeeh! unasemaje vile??? sijasikia
Naona Maria Roza ameokoka na kubatizwa na maji mengi na hatooenda tena kwenye jukwaa la wakubwa na kusoma threads za Kibunango na Uchepele
 
Ni utundu tu, unaweza kukuta hata Mhadzabe ambaye ni kiboko, ukashangaa
Tena ho ndo wazuri sasa!! hawasumbui, we unageuza unavyotaka...sio hawa waliofundishwa na kusoma kwenye vitabu, wanajifanyisha vitu vingine hata havina maana........ili mradi tu aonekane wamo.
 
hao wa kwenye vitabu ni wabaya maana hakuna muda wa kudesa, sasa akichemka kidogo, ndio kesho unasikia hakuna tena mapenzi, kumbe alitaka kutoa staili mpya akakosea tactics
 
Naona Maria Roza ameokoka na kubatizwa na maji mengi na hatooenda tena kwenye jukwaa la wakubwa na kusoma threads za Kibunango na Uchepele
Na tazama bwana tunapokwenda mbele ya madhabahu yako jioni ya leo bwana tunamweka maria rosa mbele ya ulinzi wako. baba ww unayajua mapungufu yake na wala sisi hatujui kitu baba..........jioni ya leo tunapoomba kwa ajili ya binti huyu mrembo, tunawakumbuka na wadumisha mila wote. uwape nguvu za kuyanfaya yale yakupendezayo baba.

kwa jina la bwana aliye juu, tunaomba na kushukuru.................Ameeeeeeen.
 
hao wa kwenye vitabu ni wabaya maana hakuna muda wa kudesa, sasa akichemka kidogo, ndio kesho unasikia hakuna tena mapenzi, kumbe alitaka kutoa staili mpya akakosea tactics
anakosea mambinu, anakuta kitu kimeshatinga kwenye mtando mwingine..........anaanza oooh!! ww vipi, sijui nn na nn.

wanahanagika hata hujui kama anasikilizia kitu au vipi.....hujui anaumia aua anafurahia..
 
Hapa hakuna cha nani mkali ndugu.Suala hapa ni ujuzi tu wa kufanya hilo tendo.
 
Na tazama bwana tunapokwenda mbele ya madhabahu yako jioni ya leo bwana tunamweka maria rosa mbele ya ulinzi wako. baba ww unayajua mapungufu yake na wala sisi hatujui kitu baba..........jioni ya leo tunapoomba kwa ajili ya binti huyu mrembo, tunawakumbuka na wadumisha mila wote. uwape nguvu za kuyanfaya yale yakupendezayo baba.

kwa jina la bwana aliye juu, tunaomba na kushukuru.................Ameeeeeeen.
Mkuu hii sala nakumbuka mara ya mwisho niliipata kwa Mmisionari mmoja aliyekuwa kule Tunduru. Asante

Na hapo kwenye red wameshaenda wote kupata nyama ya kutosha si unajua kesho ni namba witiri haigawanyiki bilabila
 
Back
Top Bottom