Je, yupi ni adui wa Tanzania?

Je, yupi ni adui wa Tanzania?

machafuko jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
565
Reaction score
1,158
Tunaelewa kwamba maadui hawakosekani hasa ukiwa na potential ya kukuwa.

Je yupi ni adui wa Tanzania?
 
Tunaelewa kwamba maadui hawakosekani hasa ukiwa na potential ya kukuwa.
Je yupi ni adui wa Tanzania?
Umaskini wa fikra hasa kwa viongozi..

Wanaamini kwamba ili tupate maendeleo lazima tukope, au tuombe msaada kwa nchi zilizoendelea ilihali tuna rasilimali nyingi tu za kutusaidia kwa kuanza na kidogo.
 
Back
Top Bottom