Je, Zanzibar inasonga mbele au nyuma?



Mimi nadhani kuna kitu watu hawakifahamu, hawa vijana wengi wanaochukua welfare ulaya basi huwa wanafanya kazi vile vile, wenyewe wanaita kazi za mvungu wa meza, hivyo wanakuwa na double income, ni wachache ambao wanategemea welfare tu. Sidhani kama 95% ya wazanzibari waishio ulaya wanategemea welfare tu, sasa hizi nyumba wanazozijenga kwao Zanzibar pesa wanazitolea wapi?.
 


sio wazanzibar tu katika jamii ya TANZANIA wanoishi ulaya Hata ndugu zetu wa Kitanganyika pia ambao ni marufu kwa kuuza vipipi(Lactogen) na wao wanajenga vipi nyumba na kuleta magari ya kifahari kila miezi michache?wakati wazungu wenye nchi wanadima na maisha .
 

Ndugu zetu wana usanii wakiaina, unafanya mchezo na maisha ya kukulia Bongo - unatia akili ukitaka usitake na ukienda Ulaya unakuwa umejanjaruka kuwapita wenye nchi. Tunakandia hali ngumu ya maisha Bongo tu lakini kwa upande mwengine inatutia akili ya kiutafutaji vile vile.
 
Hivi hakuna mdau anayeweza kuelezea ni kwa jinsi gani hili taifa kama lina songa mbele ama nyuma?
 
Hivi hakuna mdau anayeweza kuelezea ni kwa jinsi gani hili taifa kama lina songa mbele ama nyuma?

Mimi nadhani tupo pale pale tulipo kuwepo wakati wa Uhuru. Kuwa na hali ya 1964 mwaka 2009 lazima uonekane kama una rudi nyuma.
 
mm naona hatua za mlevi yaani mbili mbele nne nyuma.
 
mm naona hatua za mlevi yaani mbili mbele nne nyuma.
Yaani ni sawa na kutema mate upande wa kushoto, alafu anafukia upande wa kulia...!
MwanaFalsafa1 said:
Mimi nadhani tupo pale pale tulipo kuwepo wakati wa Uhuru


Je kwa mtindo huu, kutapatikana maendeleo kweli!?
 
Ndio maanake mkuu. Hatushangai kila kukicha kunapitishwa miswaada ya ajabu ajabu tu.
Enhe., Miswaada kama ipi. Eleleza -tupo jamvini hapa. Hii sweeping statements zako hazisaidii hapa!!!
 
Enhe., Miswaada kama ipi. Eleleza -tupo jamvini hapa. Hii sweeping statements zako hazisaidii hapa!!!
Unaelewa maana ya MISWADA lakini?

Kusamee kodi kwa mashirika ya kigeni, wewe unaona sawa... au haukupelekwa muswada bungeni wa kusamee kodi!?

Try to chew yourself sometimes.
 

Iyo saiti nzima ilikuwa iko kwenye majaribio, sasa link iyo inapatikana

Mafuta Zanzibar 1

Mafuta Zanzibar 2

Mafuta Zanzibar 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…