Elections 2010 Je Zanzibar sio nchi ? Unaijua history yake au Wabwabwaja tu ?

Elections 2010 Je Zanzibar sio nchi ? Unaijua history yake au Wabwabwaja tu ?

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
4,432
Reaction score
3,013
JE ZANZIBAR SIO NCHI..........?


Zanzibar-10-Rupees-1-2-1928-front.jpg

JE BADO TU MUTASEMA KAMA ZAZNIBAR SIO NCHI NI MKOA WA PWANI..?
Zanziber-government-twenty-rupees-410.jpg

Zanzibar-5-Rupees-1-1-1908-front.jpg

KAMA SIO NCHI HIZI PESA ZILITOKEYA WAPI..?
ZANZISHB.JPG

Zanzibar-1-Rupee-1-9-1920-front.jpg

KAMA HUAMINI HUTA AMINI TENA
z2w%20-%20zanzibar%20-%20pysa,%20ah.1299,%201881%20%20ef%20$60.jpg

1270.jpg

zanzibar-ship-stamp.jpg

STAP ZA POST INCHI YA ZANZIBAR LEO IKO WAPI ZANZIBAR
tanzania.jpg

3180372772_60cbd1ca56.jpg

zanzibar-postcard-front.png

ona hapa zanzibar toka enzi na enzi maji yanatoka znz leo hii 2011 maji hakuna znz nzima..?
DSC07263a.jpg

ZANZIBAR IN 1960
1zanzibar_5397721_s_99.jpg

SISI NI WATU WA MELI TOKA ENZI NA ENZI HAPA ZANZIBAR.1973

zanzibar_forodhani_big.jpg

HII NDIO FOROTHANI MPYA YA WAZENJI KWENDA KUJIPUMZISHA NA KUSIKILIZA UPEPO MZURI WENYE KUNUKIA MARASHI YA KARAFUU.

king_georgeVI_1960_scaled.jpg

Standing from left to right: 1. Abdulla Ali Said Akbary(Malindi), 2. Ali Juma, believed to be Ali Juma Shamuhuna the current (2006) Deputy Chief Minister (Kikwajuni), 3. Mohammed Omar, 4. Murtaza Jaaffar(Malindi), 5. Sherrali Khakhoo, 6. Suweid Siddiq (Vikokotoni), and 7. Mohammed Salim.
Sitting from left to right: 1. Mohammed Hadi Aghaa(Malindi), 2. Said China, 3. Mr. Wesson, 4. Said Homoud(Malindi), 5. Aboud Jumbe, Zanzibar's Second President. At the time a teacher at the school. (Read Zanzibar's history), 6. Abii Seif (Malindi), and 7. Said Ahmed Nasser.
kofia_znz_scaled.jpg

MUONE MZEE ANAVYO FANYA VITU KWA MKONO TU HANA HAJA YA MASHINE
fundi_viatu_znz_scaled.jpg

MKONO TU HATUTAKI MASHINE ZANZIBAR
.
powerpoles.jpg

nimeweka picha hii ili watu waona kama zanzibar haikuwa na tatizo la umeme
tulikuwa na umeme toka enzi na enzi leo imekuwaje kuwa hatuna umeme tuna
nyanyaswa na umeme wa tanganyika zima washa zima washa utafikiri tumo
ndani ya disco la komba pale bwawani.

MiziganiStreetLightandtrain.jpg

angalia hapo chini kwenye barabara ni njia ya train zanzibar na uguzo wa taa za umeme
toka enzi hizo leo ati zanzibar hakuna umeme 2011 sasa ndio tunakwenda mbele au tunarudi nyuma.?
Zbar_Election2.jpg

hawa ndio wa zanzibar 1964 baada ya nchi ya zanzibar kupinduliwa mpaka leo 2011 bado tunateseka.
Zanzibar_Arabs.jpg

NI nini haswa kilicho wakera watanganyika mpaka kuivamiya znz ni usultani,urabu au uislamu...?
mashekhe1962b.jpg

Scholars in 1962 Zanzibar
our-beach-2.jpg

wapi ulimwenguni utapata beach kama hii kama sio zanzibar tu ndio maana mahasidi ni wengi wanataka
kuifisidi mpaka imalizike
dsc02600.jpg

wakiona wanawake wa znz hivi wanawake wengine wanaumiya maana wao wanataka
kuja na vichupi ila wanawake wetu wa znz hawana haja ya vichupi ndicho kinacho
wachoma hao mahasidi
.
externalImage.svc

externalImage.svc

zanzibar yetu ila inachafuliwa kwa lazima japo haichafuki
ferry.jpg

bora pesa yako tu huu ndio usafiri wa kukuleta zanzibar.
1.JPG

jione mwenyewe ndio utajuwa kwa nini watanganyika wamekinganganiya kiwe chao na sisi watuhamishe.
fishingboatonzanzibarbeach2.jpg

hii ndio zanzibar ila wazanzibar wenyewe hawana raha nayo ukisema kitu ushafungwa jela wageni ndio wenye kula raha zote unazoziona ktk kisiwa hichi cha zanzibar je nikutawaliwa au sikutawali..?
View-of-Stone-Town-Zanzibar.jpg

mskiti wa wahindi na majumba ya mawe ya toka enzi na enzi ona bahari inavyokuvutiya
dsc02432.jpg

hii ndio zanzibar mpya jamaa vipi tena znz hakuna ngombe wa kuchanga
tuna mikarafu tu sasa mbona munamiminika ...?
Urban_blight_at_the_Michenzani_housing_project,_Zanzibar_town,_Tanzania.JPG

mzee karume alijenga majumba haya kwa jili ya watu wa znz kuishi
ktk maisha mazuri.je baada ya mzee karume maraisi wote waliyo fuatia
nini walichofanya kwa wananchi..?zaidi ya kuiba mamillioni kwa mamillioni.
 
You can call yourself a 'continent' it wont matter one bit.

Better still, katiba mpya inakuja so change whatever you like, pata passport yako, badilisha mavazi yawe ki-sultan, wapakie wamasai wote kwenye mtimbwi warudi kwao etc, no one gives a monkey except maybe for Kikwete and a friend of his for 'statistical reason.
 
we don't need to be convinced that Zanzibar before independence was a sovereign country..otherwise how would Tanganyika have a union with a non-entity?the rich history,some good some not very good is known to all of us..there are many examples of empires once great that have since become part of a union first as a recognized party to the union,but later just part of the union..please go and learn the history of the German states,specifically Prussia..and then compare with Zanz..i think it all comes down to what you want for your country..you are the masters of your own destiny.i see you shower praises to Mzee Karume who is responsible for selling you over to us unwillingly..(.pardon my description of our union)..at the same time complain of the union..anyway,its in our best interest to remain united,but our union should be of mutual benefit to the two countries and should hold the hopes of the people of the two nations now and their future generations,if the best thing for your 1 million people and their children's granchildren is to break off from the union..so be it.
dont nag here..just a reminder..when Zanz prospered it did so in the back of a huge trade between bara and the middle east via Zanz,commodities like gold,human beings,ivory were exchanged and shipped via znz,so as you aspire to reclaim former glory..think new ways to prosperity..the old ways wont work...all the best in whatever decision you reach
 
Mradi wa Cuf, kufufua history ya Ukoloni wa Zanzibar na kuitakasa ihalalike ili wapate kurudi waarabu waliokimbia na wafadhili wa miradi ya Cuf. mbona husemi kuwa hiyo picha ya hoteli ya Pongwe beach Hotel ni wa Kikristo? pia husemi kuwa hao waarabu walikuwa hawawaruhusu waswahili weusi kuja waterfront ya mji wa zanzibar, weusi tuliishia magomeni na shamba, umeme alikuwa nao sultani tu usijaribu kudanganya, hizo noti na coins za kale unazoonyesha ni dhambi kubwa, ndio zilizotumika kununua babu zetu na kuuzwa wakahasiwe ili watumiwe kama punda arabuni na wazizaliane arabuni, kwa wale waliopelekwa marekani nafikiri ushahidi upo. hiyo bustani ni kama kariakoo nyanya, shanga, kofia na vitu vingine viliuzwa chini, mpaka 2004 Aga Khan walipojenga kwa msaada. danganya tena
 
Naona Mwaarabu Ismail Jussa na Mnyaa wameshindwa kuvunja Muungano na sasa wanajitokeza na kuchukua vyeo vya Cuf, vipi si ilikuwa wapambane gizani? wasijulikane? sasa imeshindikana? au sio wao tena wanaopokea pesa toka arabuni na kufadhili fujo?
 
Hao Wamasai wakristo huwapendi? na watalii wanaoleta jeuri yenu hadi mnatutukana sio wakristo? jeshi la wingereza lililokuwa linamlinda sultani chini ya ufalme wa england sio wakristo? kama sio kanisa la Mkunazini lilitoka wapi? si tangu walipomwambia sultani kibaraka wao achane na biashara ya utumwa miaka ya 1800 na wao kujenga kanisa katika eneo la soko la watumwa? familia za wakristo wa kale wa zanzibar kama kina John Ramadhani mtu wa kwanaza afrika mashariki kupata digrii na babu yake aliyekuwa jaji mkuu mstaafu Augostino Ramadhani? hebu rudi shule kwanza halafu ndio utudanganye...
 
By the way kwanini Wazanzibar wanapenda kulalamika lalamika sana humu JF? Je JF ina uwezo wa kuipa Zanzibar uhuru? Kwa nini msipeleke frustrations zenu sehemu husika? Kama strategy yenu ya kupata uhuru ni kupiga makelele JF basi mtapiga kelele mpaka kesho maana wanaJF wengi don't even give a damn about Zanzibar.

Ushauri wangu ni kwamba mambo yote haya mpeleke kwenye "serikali" yenu na viongozi wenu waya shughulikie. Wanaowanyima uhuru siyo wanaJF au Watanganyika. Wanao wanyima uhuru wenu ni viongozi wenu ambao hata siku moja hawa ongelei hili kero lenu hadharani. Badala ya kulalamika ongeeni na viongozi wenu ambao wamegoma kuwa sikiliza.
 
Zanzibaris, you are the masters of your own destiny. Do something. ZRA collects money just for your country. TRA is for both. Parasites
 
Nimezipenda picha zako za kihistoria ulizoziweka ingawa masimulizi yako hayaendani na ukweli halisi wa hali ilivyokua na ilivyo kwa sasa.
 
Back
Top Bottom