Hoffman degradation
Member
- Jan 29, 2017
- 61
- 66
Hakuna lolote ni mapambo kama mapambo mengine.Ni matumaini yangu wazima kabsa wadau WA JF.
Katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii hususan instagram..nimekutana picha za mwanadada WA kiganda ambaye pia Ni shemeji yetu( Zarina Hassan) al-maarufu kama zari the boss.picha kikweli Ni nzuri Na ametokelezea sna....ila pembeni Kuna alama ya fuvu LA mtu....hii Ki ukweli sikuelewa maana ya alama hii kuwa ndani ya ofsi yake. Alama hii huwa Mara nyingi inahusishwa Na alama ya Freemason...Sasa naomba kutolewa utata hapa,kuwa Ni kweli zari the boss anawezakuwa muumin WA freemason?? View attachment 650104View attachment 650105
Kuna. Vitu watu wanafanya makusudi ili muwaongelee kama hivi
KwakwelNikusahihishe.
Hiyo ni ofisi ya wcb sio ya zari
Haya mzee wa Red chairHio sio ofisi ya Zari ni ofisi ya WCB (Diamond)...Kuhusu swala la fuvu kuhusishwa na freemasons sidhani kama ni sahihi!!Hilo ni pambo kama mapambo mengine tu mkuu....
Unaifahamu Red Chair???Haya mzee wa Red chair
Hehehe...MKUU!!wewe fanya kazi kufatilia habari za watu utakufa maskini mwenye kuujua ukweli ni yeye mwenyewe zari sasa endelea kubuni buni kwamba sijui hivi sijui vile
Me mtu wa media ntashindwaje ijua mkuuUnaifahamu Red Chair???
Akina bambo mnaongezeka..."kutamano"Duh
Kabisa umekaa na kutamano yote unayomfikiria yawe yake.. aiseee!!!