Je Zari The bossylady kweli Ni Freemason??

Hio sio ofisi ya Zari ni ofisi ya WCB (Diamond)...Kuhusu swala la fuvu kuhusishwa na freemasons sidhani kama ni sahihi!!Hilo ni pambo kama mapambo mengine tu mkuu....
hapana jaribu kutafuta ukweli zaidi
 
Hapa kitaa chetu watu wasio na kazi hukaa vijiweni kutwa wanakung'uta hadithi za Freemason Mara utasikia diamond anagombania demu na billgate
 
Hamna anayeweza kyjiunga hovyo hovyo na Freemasonry mara nyingi wao ndio wanatafuta watu tazama hii documentary ya BBC kuhusu freemasons wa kike

Crystal skull huaminika kuvuta nguvubfulani za mafanikio.
Hakuna lolote ni mapambo kama mapambo mengine.
Wengine hadi hujipiga tatoo mwilini.
Freemasons wapo ila siyo kama story zilizogaa mitaani hadi eti mganga toka kigoma anatoa majini na kuunga freemasons
 
Hio sio ofisi ya Zari ni ofisi ya WCB (Diamond)...Kuhusu swala la fuvu kuhusishwa na freemasons sidhani kama ni sahihi!!Hilo ni pambo kama mapambo mengine tu mkuu....
Haya sio mapambo tu. Zipo sababu za kuwepo haya unayoyaita mapambo. Soma zaidi kuhusu crystal skull.
Diamond anayo haya mafuvu kayatoa ulaya. Its not by mistake
 
Kimsingi, hao wenye ofisi wanatakiwa kukamatwa wote kwa kosa la kukutwa na fuvu la mwanadamu!

Sio sahihi kusema ni pambo (hakunaga pambo la namna hiyo). Hilo swala pasi na shaka linahusika na secret societies!!!
 
Watakao atharika wapo. Mtego wa panya unakamata hata wasio husika.
Binafsi mtu akiwa Freemason namchukulia kawaida sana,na anaweza hata kuwa rafiki yangu na bado hawezi nishawishi nikawa huko ,kwa sababu nafahamu yanayofanyika nyuma pazia na hizi secret societies
 
Binafsi mtu akiwa Freemason namchukulia kawaida sana,na anaweza hata kuwa rafiki yangu na bado hawezi nishawishi nikawa huko ,kwa sababu nafahamu yanayofanyika nyuma pazia na hizi secret societies
Nimekupata, ila wewe unaweza usiwe victim ila wengine wakawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…