Zanzibar anaonewa na nani?Zanzibar anaonewa
Inatakiwa awe mwanachama kamili wa CAF ashiriki mashindano
Ona vijana wa Zanzibar Jana wametubeba Tanganyika
Bacca
Mudathir
Feisal
TanganyikaZanzibar anaonewa na nani?
Unahakika na maandishi yako au umejiandikia tu ili mradi ucomment?Zanzibar anaonewa
Inatakiwa awe mwanachama kamili wa CAF ashiriki mashindano
Ona vijana wa Zanzibar Jana wametubeba Tanganyika
Bacca
Mudathir
Feisal
Sasa hapo unataka uhakika Gani?Unahakika na maandishi yako au umejiandikia tu ili mradi ucomment?
Sasa hapo unataka uhakika Gani?
Tanganyika wameshiriki
Wazanzibar wapo visiwani wanavua kasa
Vijana wao ndo walikuwa mastaa kwenye mchezo
ZFF siyo mwanachama wa FIFA na wala haitambuliki!ZFF ni Zanzibar Football Federation kwa Kiswahili ni Shirikisho la Soka la Zanzibar sawa na TFF.
Kimenishangaza ligi ya Zanzibar inaendelea wakati huu ambapo mechi za timu za mataifa zikiendelea.
Timu za Simba na Yanga zimecheza mechi za kirafiki kwa angalizo la kutooneshwa ama kutangazwa kwa sababu hairuhusiwi.
Sasa ZFF ipo vipi?
Na anayewabania ni TFF, ili waendelee kunufaika na pesa za migao ya uanachama peke yao.Tanganyika
Nawapa elimu watu wanabishaNa anayewabania ni TFF, ili waendelee kunufaika na pesa za migao ya uanachama peke yao.