Kamukhm
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 2,801
- 4,212
Hayati Mzee Benjamin W. Mkapa (Mungu Amrehemu) aliwahi kulisemea swala la kukosa Muendelezo (Continuation) katika Mipango yetu. Naona bado Ni janga.
Ninaona kama [emoji1241]tunadhani haya maneno wameambiwa viongozi wa kisiasa pekee na sio akina Minara na akina Hans na magenge yao. Haya Ni ya Viongozi wote na Watanzania wote...lazima tubadilike.
Kinachofanyika Simba ni kubomoa baada ya mafaniko ya dk 2, kana kwamba...Malengo yetu yametimia. Ni Aibu kubwa kurudi kwenye ujima wa kila mtu kuja na Mchezaji wake akiongozwa na matamanio yake... Kwa timu kubwa Kama Simba.
TFF Ni overseer wa mabadiliko chanya katika michezo na kuangazia Muendelezo wa mabadiliko hayo kwa kipindi Cha muda mrefu na mfupi... Cha ajabu wanajikuta wapo katikati ya usimba na uyanga unabaki unazubaa tuu..
Natamani nione kunakuwa na namna ya uwajibishwaji (kimfumo) kwa watu wanaongoza hivi vilabu tukiachilia mbali ushabiki uchwara...Kama watoto wa la tatu "B".
Mashabiki ni watu mchanganyiko..na Jambo la kitoto ukimfanyia mkubwa Ni dharau..Ila Jambo la kikubwa sidhani litamkera mtoto.. #Simba tujitathmini.
Na Mashabiki tuchukue nafasi yetu Kama Watanzania, ikibidi KUSUSIA MECHI na kuacha kununua Bidhaa zote za timu ili wabadilike wajue maamuzi yao yanapaswa kupewa uzito unaostahili sio kung'ang'ania ushabiki masufuria.