Je, zipi ni faida na hasara za Tanzania kuwa na Rais mprotestanti?

Je, zipi ni faida na hasara za Tanzania kuwa na Rais mprotestanti?

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
704
Reaction score
572
Mvutano wa kimaslahi baina ya Waingereza na Wajerumani huenda ni sababu mojawapo inayofanya Tanzania isiwe na rais mprotestanti.

Muingereza anahisi akipatikana rais mprotestanti kuna possibility kubwa akawa Mlutheri as walutheri ni wengi kuliko waprotestanti wenye asili ya uingereza (Anglicans, Presbyterians).

Na Muingereza anaogopa kwamba rais mlutheri atakua karibu na Ujerumani kuliko Uingereza.

So muingereza anaona ni bora tuwe na rais mkatoliki au muislamu ambaye vile vile atakuwa pro-British. Muingereza anaona faida nyingine ya sera hii ni kwamba ataonekana ni multi-cultural na atawafurahusha waingereza wakatoliki.

Another issue ni kwamba wapentekoste (wenye asili ya marekani) wamekua wengi sana Tanzania. Hii huenda inawafanya wamarekani nao wawe na policy ambayo ni independent from waingereza.

Ila kuna maafisa wa kiingereza ambao wanaona kwamba ni vizuri kushirikiana na wajerumani hapa TZ. As long as Muingereza ni senior partner wa wajerumani. Na kwamba rais mlutheri anaweza kua pia pro-British.

Faida mojawapo ya kuwa na rais mprotestanti huenda ni faida ya Kiroho. Faida nyingine ni huenda akawa na sera zitakazoisaidia TZ, kama kupenda elimu ya sekondari, kupenda private sector, kupenda human rights na property rights na kupenda decentralisation
 
Back
Top Bottom