PUMBA, watawadanganya akina Lunyungu tu!
Tuhuma ya pili kubwa ilikuwa ujumbe wa simu aliomtumia Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa.
Taarifa zinasema Zitto alimweleza Dk. Slaa kuwa hana msaada wowote katika chama; na kwamba kama kuna kiongozi ambaye ametoa mchango mkubwa katika ujenzi wa CHADEMA, basi ni yeye na Mbowe.
Huyu dogo, nadhani ameanza kulewa sifa. Kweli ana ubavu wa kujilinganisha na Padri huyu (Dk.Slaa)? Jambo hili lingefikishwa Kamati Kuu, hakika angekutana na cha moto, mbunge mmoja wa CHADEMA alilimbia gazeti hili.
Imeelezwa kwamba tuhuma za Zitto ndizo zilifanya hata pendekezo lake la awali kuwa Dk. Slaa agombee uenyekiti likataliwe.
Lakini Dk. Slaa alikataa kugombe uenyekiti, akisema hataki nafasi hiyo. Sababu kubwa ni kule kushambuliwa na Zitto.
Chanzo: Gazeti la MwanaHalisi
....Shwanga kabisa mkuu....we agizia popcorn tu maana NaniHii....keshaanzisha kutunguana....sijui mwisho wake stelingi atakuwa nani??.....Maane, Niagize mtoto aniletee Popcorn?? 🙂
waberoya ndivyo ulivyo huna hoja ovyoo.Eric baba, hayo mawazo yako wala usifikiri kila mtu anawaza kama wewe!
Kwangu mimi Zito mpiganaji na kiongozi mzuri, andika weeeeeeeee jaza hata thread zote kwangu mimi ni hivyo hiyo haitabadilika; sijamjua leo wala jana!
Pili, weka dhamana au insuarance kuwa wengine woote wapiganaji hawawezi kuhudhiwa na kubadilika; ama sivyo kutakuwa hakuna mpiganaji !
swala la kuwa huyu jamaa atakufa kisiasa pia ni theory is not practical, na wote wanaosema hivyo ni kujaribu kutabiri kama akina Yahaya!
Tukiwa wakali kuwalinda wale wapiganaji wetu tutawaokoa wengi, tukiwa waandika nakala kama wewe tutaua wengi mwishowe utabaki wewe peke yako maana wooote watachukuliwa na upepo.
Uwazi wa Zito ni mzuri ndugu , ni picha tunapata kuwa ni jinsi gani vyama vinavyojiita mbadala vinaishi, Zito angekuwa wa kujikomba angekaa kimya!
KWA NAKALA YAKO UNAPROVE PIA KUWA ZITO YUKO JUU SANA ZAIDI YA CHADEMA, CCM huwa hawafanyi ujinga huu, angekuwa mdogo; why all this unconvicing articles!
Mwambie Mtei na Chadema wote kuwa habari zenu tumezipata na mnavyoishi humo, hamna tofauti na CUF, NCCR, TLP.
Shida ilikuwa nini si angeachwa ashindwe kwenye kibox cha kura, wewe hili hufikirii??
swali la kumalizia, tunawalindaje hawa wapiganaji?? maana juzi tu ulikuwa unampenda Zito , leo humtaki, kesho utamkacha Slaa, maana tuhuma zipo tu, na tusivyopenda vithibitisho!
why are we not believing in them, when then we will belive them as true dream leaders??
Mtu gani mkweli atakayeingia kwenye siasa na kuishi namna hii??
ETI KULINDA CHAMA THIS IS POPPYCOCK !!!, AKILINDE KISHA WAJE KUCHUKUA NCHI, SI KAMA YA KENYA YA KUMUONDOA MOI, THEN WAO HAWATAKI KUTOKA, THUBUTU !!! better this what is CHADEMA ANYWAY , mjinga sana wewe!!
Upumbavu huu anaouvumbua Zitto badala ya kufurahia ndio mnasema kulinda chama, TOFAUTI YA HII NA CCM ni nini then
Kwa wataka mabadiliko tusio na makundi this was good movies, kuona kumbe hakuna cha CHADEMA wala CCM, wala CUF , TLP, NCCR, we are long way to true revolution, lets think another way!
ETI KULINDA CHAMA!!! huu ujinga hausameheki, NDIO MNAISHI NA WANAWAKE WAZINZI ETI KULINDA NDOA!
mchaga nini wewe!!!!!!!!!!
zitto bado ni kidume
Capt. Pleeease!..yaani umemvuta hata Mkapa ktk hii kitu..Ni kweli bado ni kidume. Tunahitaji dume siyo kidume. Alishapoteza mwelekeo tangu suala la mitambo ya DOWANS. Hana maana tena kwa aibu alishindwa hata kuwa muungwana na kukiri alichemka. Anashindwa hata na baba wa ufisadi Mkapa aliyekiri kuboronga kwenye ubinafisshaji.
Capt. Pleeease!..yaani umemvuta hata Mkapa ktk hii kitu..
Hivi kweli unaweza sema Mkapa ni afadhali kwa sababu tu alikiri kuboronga kwenye Ubinafsishaji wakati yeye bado ameshikilia mali za Taifa, hataki kuachia hata moja wala kukubali kama yeye na mkewe wametuingiza mjini.
Mkuu wangu Mkapa hakuboronga.. Mkapa alifanya alichokusudia kufanya, alijua fika nini matokeo ya kubinafsisha na ndio maana akafungua Ofisi yake Ikulu..A Pre meditated act! wakati mkuu Zitto wala hajui makosa yake, hesabu zake zote zinampa 2+2=22 akilini, wakati Mkapa ni mtunzi wa formula hiyo..
Kumsifia Mkapa, huu ndio UCCM damu ukisikia..haiwezekani kabisa kumlinganisha Zitto na Mkapa, na yeyote anayefikiria hivyo bila shaka atasema hakuna kiongozi Chadema anayeweza kusimama na Mkapa.. ndio lugha ya wapenzi wa Mafisadi.
Mkuu kuna kitu waswahili husema unapopigwa changa la macho ni kwa sababu umetaka upigwe changa laa sivyo usingetazama.............when things are so obvious..........kuukubali ukweli ni big step towards ufumbuzi wa matatizo and hence maendeleo ya oneself na jamii pia........unless tuwe tunafichwa jambo ambalo Zitto analijua yeye na selected few.........
i mean Zitto hawezi kukiri kuchemka kwani kuna kitu anakijua wakati sie akina "kapuku" hatukijui.......kama si hivyo basi ni kuchemkax100.......
- Ngoja tujaribu kuchambua hoja nzito za hii ishu, naona hapa Raia Mwema wamejaribu kutusaidia na hoja zaidi.
Respect.
FMEs!
Kaka kwa umri wako kukumbatia theory za kuhalalisha ugandamizaji kam huu unatutisha sana endapo utapewa uheshimiwa wenye makali ya dola
Unataka kusema kuwa wanaCHADEMA hawana uwezo wa kuchagua viongozi wao?
Kaka hata mimi naomba utokee muujiza hili lifanikiwe. Lakini swali kwa unavyomjua MTUHURU wako unadhani anaaminika hata kumpendekeza Zitto kuwa Katibu wake? Na kama kulikuwa na mpango huo iweje Slaa aache kuchukua fomu za kugombe umakamo?
Kwa hiyo kwako wewe unaona ni sawa kabisa kuacha CHADEMA iliyojaa wasiokuwa tayari kupractice demokrasi kuwaongoza watanzania kufanikisha demokrasia pana. Unataka kusema wale mafisadi wa kenya walivyowalaghai wakenya na dudu lao waliloliita NARC na kuja na madudu kama ANGLO LEASING Scandals ndio mfano wa kuigwa kwa watanzania?
Kama sio kujua kuwa mmoja wao angekosa ustaarabu wa kutumia siasa safi kufanya kampeni zake, uoga wa kutowashindanisha unatokea wapi. Yaani mnataka kusema yale mawazo ya wahafidhina wa CCM kuwa kumshindanisha JK na mtu mwengine kutavunja chama yana maniki. Ilikuwaje mkaanza kuwabeza wale kina mama na wazee wa watu walipoandamana kuwatisha wanaCCM wengine wenye nia ya kushindana na JK 2010? Au kwa sababu huyu ni mswahili Jakaya ni sawa lakini sio "mstaarabu" FREEMAN AIKAELI?
Makundi hayakuanza na Zitto ila yameanza na utamaduni wa kufukuzafukuza kila anayetofautiana na maslahi ya wachache yanayopewa jina la maslahi ya chama. Na usimsingizie Zitto kuwa aligombea kukuza ama kumaliza kundi jingine. Kama kitu alichokuwa anasisitiza kuwa kinatia umuhimu wa yeye kugombea ni kusamehe wale wote walionewa kwa kufukuzwa ama kusimamishwa uanachama mara baada ya kuonyesha tofauti zao na mwenyekiti wao. Na hili amelisema hata alipokuwa akihojiwa na vyombo vya habari. Sasa hii ya kumaliza kundi jingine yametka wapi. Usitie shaka Zitto hana roho ya korosho na wala utamaduni wa kuweka vinyongo na pia best wako Mnyika kamwe hawezi kugeuka adui wa Zitto kwani wametoka mbali. Kidudu mtu ambaye anapaswa kunyamzishwa ni mwengine ambaye sidhani kama ana umuhimu sana kwako.
Dogo umefikia lini umri wa Wazee wa Chama unakuja na mawazo mgando kama haya. Yaani U-CCM umewaathiri namna hii. Kama ninyi mliokulia katika enzo za siasa za ushindani mnafikiria hivi iweje leo muwashangae MAGOGO yaliyofubaa ya CCM?
Aliyechukua fomu na kujaza kuomba ridhaa ya wanachama wake kuwa kiongozi wao na waliotumia bisara zisizo na hakima kumshinikiza ajitoe kwa kuogopa athari za siasa chafu za KIJANA wao na baadae wafuasi wake kuendeleza kumwaga sumu dhidi ya mwenzao, ni yupi ambaye anataka kukisambaratisha CHAMA?
Maandiko ya Zitto kama majibu ya Tuhuma dhidi zake JF
Ina maana huyajui haya kama yanatendeka?
Ni wapi Zittoa amesema hawa ni wabaya wake. Na kama wakati Zitto anakubali ushauri wa wazee wao wanaingia mitandaoni na kwa waandishi wa magazeti kuendeleza propaganda zao kama walizotumi kumfrustrate Kaborou na Chacha Wangwe ulitaka Zitto awanyamazie. Ili iweje? Watu wazoee uzandiki wao hadi waamini?
Unataka kuniambia kuwa Zitto angeenda kukimbilia kwa hao wazee ambao nao wanakuja kudai kuwa Zitto ana tuhuma za kuhonga vijana kwa ushahidi wa sms na vijikaratasi? Sijui kuhusu mauaji lakini unataka kusema CHADEMA hakuna tuhuma za matumizi mabaya? Hayo ya uchaga ni nani kama sio wenyewe wanayoyatengenezea mazingira ya kuyahalalisha. Tatizo hizi natural born arrigances zinawafanya muwe reckless kiasi cha kufanya yaleyale ambayo maadui zenu wangependa muyafanye ili muwathibitishie mapungufu yanu.
Hivi iweje mtu anayetumia fedha za chama vibaya, akatumia ukabila katika kufanikisha malengo yake akawa na mapenzi na chama chake na yule ambaye anamwambia kuwa acha kutumia ukabila ndiye akawa hana mapenzi nacho. Kwani haya yameanza kusemwa lini? jee kuna suluhu iliyofanyika kichama? Na imekuwaje kuwa hata alliances za utetezi wa MBOWE na mashambulizi dhidi ya Zitto zikawa na picha ya udini? sitaki nije kwa undani wake hapa lakini kama unahitaji nishtue nitakushukie the whole chain...
Ni kama anatuambia yeye haipendi CHADEMA kihivyo! wakiendelea kumgusa ataua chama! Huu ni ubakaji wa chama na kuibua hofu za kibazazi. Ni kama anawaambia wanaCHADEMA wasimuuzi lasivyo atanyea kisima?! Hatuwezi kuendesha chama kwa hofu na kuwaza ni lini Zitto atakunya katika kisima. Kuna maswala mengi ya kuwaza katika mustakabali wa nchi zaidi ya kunya kwa Zitto.
Ulitaka abaki ili mtimize mpango wenu wa kumchoma visu?
Tangu lini kumpigia kampeni mtu kukageuka kuwa kuhujumu uchaguzi?
Tangu lini aliyeshinda uchaguzi akalalamika kuwa kadhulumiwa? angewasilishaje taarifa wakati wenye chama wameshinikiza hata majibu yasitolewe.
Yaani sasa mnataka hata watu wasihoji makosa ya kikatiba? Kazi kwelikweli.
Kama msingeendelea na propaganda zenu dhidi yake ni wazi mambo yangekuwa shwari sasa. Kosa ni lenu mliochukulia uamuzi wake wa kujitoa kama weakness na mkaendeleza mpango wenu wa kummaliza kisiasa...Na msipoangalia mtaadhirika maana FREEMAN na ZITTO walijuana siku nyingi na wamefanya mengi pamoja.....wakati ninyi mnaendela na ujinga wenu huku wenzenu wanaangalia jinsi gani ya kufanya kazi pamoja huko mbele kuendeleza libeneke (ofcourse kama mmoja wao hajaendeleza chuki zake)
Wenye jitihada ya kuiua CHADEMA ni wale walio tayari kufanya lolote ili mradi kulinda vyeo vyao na maslahi yao hadi kuwafanya wazee kutumia busara isiyo na hekima kumshawishi Zitto kujitoa......
omarilyas
Omar
Hivi una nafasi gani ndani ya CHADEMA? Au ni mwanachama? Maana naona uko mstari wa mbele kweli. Profesa Baregu na Dr Kitila wameshinda ujumbe wa Kamati kuu, wewe uligombea nafasi gani?
Zitto amewataja humu yeye mwenyewe kwamba Dr Slaa, Mrema, Mnyika na Halima Mdee ndio wabaya wake.
Lakini hayo yalishapita, wewe naona bado unaendeleza kuandika humu. Wewe ndio unaendelea kumchonganisha Zitto na Wenzake.
.......ndiyohiyo