Jean Baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora pale TP Mazembe (ligi ya kongo) Kama mnavyo danganywa/jidanganya

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kuna nyuzi nyingi sana zimeandikwa kumuhusu Jean Baleke, kiufupi zimeandikwa kiudaku pasipo kuwa na evidence yakupush agenda Kama baleke alishawahi kuwa mfungaji Bora pale kongo.

Nakataa, nakataa nakataa tena kuwa Jean baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora ligi ya kongo,
Nashangazwa na mashabiki maandazi/shabiki lialia/shabiki mbumbumbu wanaokaza shingo bila yakua na ushahidi wowote Bali wanastori za kwenye vijiwe vya kahawa nakutamka maneno et Jean baleke alimnyima mayele asipate kiatu Cha ufungaji Bora.

Nukuu kutoka kwa shabiki wa Simba jamii forum.

"Kwa taaarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli."

Mwisho wa nukuu ya shabiki wa Simba kutoka jamii forum,

Sasa kwa taarifa yenu Jean baleke hajawahi kuwa mfungaji Bora pale Tp mazembe hii ndiyo list yenye majina yote Mbwana samata, chiko ushindi na deo Kanda ndio wapo kwenye orodha hiyo.

Kama una evidence/ushahidi wamaandiko njoo uweke hapa uthibitisho Kama baleke alikua mfungaji bora pale tp Mazembe.

"No research no right to speak".

Screenshot_20230411-170430.jpg
Screenshot_20230411-170532.jpg
Screenshot_20230411-170735.jpg
Screenshot_20230411-170840.jpg
 
Mayele simuoni ...?baleke alitoka Spain ndo kaenda kwao Kucheza mpira soon akaja simba kabla hata msimu kuisha ila kaacha bao za kutosha kwao....
Jin baleke...16 April......5-0
Hao ni wafungaji wa tp Mazembe naona Unabisha kitu ambacho hujakisoma na kukielewa
 
Kuna nyuzi nyingi sana zimeandikwa kumuhusu Jean baleke, kiufupi zimeandikwa kiudaku pasipo kuwa na evidence yakupush agenda Kama baleke alishawahi kuwa mfungaji Bora pale kongo.

Nakataa, nakataa nakataa tena kuwa Jean baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora ligi ya kongo,
Nashangazwa na mashabiki maandazi/shabiki lialia/shabiki mbumbumbu wanaokaza shingo bila yakua na ushahidi wowote Bali wanastori za kwenye vijiwe vya kahawa nakutamka maneno et Jean baleke alimnyima mayele asipate kiatu Cha ufungaji Bora.

Nukuu kutoka kwa shabiki wa Simba jamii forum.
"Kwa taaarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli."

Mwisho wa nukuu ya shabiki wa Simba kutoka jamii forum,

Sasa kwa taarifa yenu Jean baleke hajawahi kuwa mfungaji Bora pale Tp mazembe hii ndiyo list yenye majina yote Mbwana samata, chiko ushindi na deo Kanda ndio wapo kwenye orodha hiyo.

Kama una evidence/ushahidi wamaandiko njoo uweke hapa uthibitisho Kama baleke alikua mfungaji bora pale tp Mazembe.

"No research no right to speak"View attachment 2584549View attachment 2584550View attachment 2584551View attachment 2584553
Umeshindwa hata kuandaa uongo wako vizuri!! Chukua hii hapa:

Notable former players[edit]​

TopscorerLinafootCongo CupCAF CompetitionTotal
Democratic Republic of the Congo Jean Baleke165040205
Source: Ukurasa wa TP Mazembe kwenye Wikipedia!!
 
Hakuna kitu Kama hicho mkuu, makele yamekua mengi sana katika kupita pita kwangu sioni mahali palipoandikwa kumuhusu baleke.
Na utashughulishwa sana,mhaho kama wote....pale utopoloni kuna mchezaji yeyote aliyewahi kupata tuzo ya top scorer katika ligi yoyote???????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mpole tu kawatoa jasho????hahahaha
Pale SIMBA SC kuna

BOCCO [emoji1628][emoji1628][emoji1628][emoji1628]
PHILLI [emoji1628][emoji1628]
BALEKE JINI MKATA KAMBA [emoji1628][emoji1628]

MTINGISHA MANYONYO....[emoji849][emoji849]
 
Sawa mbumbumbu fc
 
Sina shaka juu ya kiwango alichoonesha Baleke akiwa Simba mpaka sasa, ila swala la kusema kuwa aliwahi kuwa top scorer wa ligi ya Congo, ni uongo ulienezwa na wachambuzi na watu wakachukua hiivyo hivyo. Hakuna source yeyote itakayoonesha Baleke aliwahi kuwa top scorer. Msimu ambao unaosemewa ni huu hapa na hakuwa top scorer

Mayele simuoni ...?baleke alitoka Spain ndo kaenda kwao Kucheza mpira soon akaja simba kabla hata msimu kuisha ila kaacha bao za kutosha kwao....
Jin baleke...16 April......5-0
Katoka Lebanon kwa mkopo
 
Sina shaka juu ya kiwango alichoonesha Baleke akiwa Simba mpaka sasa, ila swala la kusema kuwa aliwahi kuwa top scorer wa ligi ya Congo, ni uongo ulienezwa na wachambuzi na watu wakachukua hiivyo hivyo. Hakuna source yeyote itakayoonesha Baleke aliwahi kuwa top scorer. Msimu ambao unaosemewa ni huu hapa na hakuwa top scorer

Safi sana napenda watu mnaokuja na hoja na ushahidi juu kuliko hawa mapopoma na stori zao za kwenye kahawa.
 
Back
Top Bottom