NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kuna nyuzi nyingi sana zimeandikwa kumuhusu Jean Baleke, kiufupi zimeandikwa kiudaku pasipo kuwa na evidence yakupush agenda Kama baleke alishawahi kuwa mfungaji Bora pale kongo.
Nakataa, nakataa nakataa tena kuwa Jean baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora ligi ya kongo,
Nashangazwa na mashabiki maandazi/shabiki lialia/shabiki mbumbumbu wanaokaza shingo bila yakua na ushahidi wowote Bali wanastori za kwenye vijiwe vya kahawa nakutamka maneno et Jean baleke alimnyima mayele asipate kiatu Cha ufungaji Bora.
Nukuu kutoka kwa shabiki wa Simba jamii forum.
"Kwa taaarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli."
Mwisho wa nukuu ya shabiki wa Simba kutoka jamii forum,
Sasa kwa taarifa yenu Jean baleke hajawahi kuwa mfungaji Bora pale Tp mazembe hii ndiyo list yenye majina yote Mbwana samata, chiko ushindi na deo Kanda ndio wapo kwenye orodha hiyo.
Kama una evidence/ushahidi wamaandiko njoo uweke hapa uthibitisho Kama baleke alikua mfungaji bora pale tp Mazembe.
"No research no right to speak".