Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Ulikua unatoa mwiko ndiyo ukajua ni nyani?Akumbukwe Aimel.Umemjibu vizuri mbumbumbu mwenzako
Leta mchele wako hapaPumba tu
Tangu ubofoe kwa kutoa takwimu za Kibu na Mayele ingekuwa busara kukaa kimyaBaleke lazima akutie mimba tarehe 16
Halafu alikimbia uzi wake.Tangu ubofoe kwa kutoa takwimu za Kibu na Mayele ingekuwa busara kukaa kimya
sorry link hii itakupeleka moja kwa moja. https://m.footballdatabase.eu/en/competition/overall/13802-vodacom_ligue_1/2020-2021Nikifungua link ya pili inanipileka kwenye page yenye pamoja na mambo mengine,ratiba ya UEFA YA LEO sioni hiyo ya 2020/2021. Screen shot kama vipi kama kwako inafunguka vizuri
Sawa. Kwa Ivo unasemaje na unatakajeKuna nyuzi nyingi sana zimeandikwa kumuhusu Jean baleke, kiufupi zimeandikwa kiudaku pasipo kuwa na evidence yakupush agenda Kama baleke alishawahi kuwa mfungaji Bora pale kongo.
Nakataa, nakataa nakataa tena kuwa Jean baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora ligi ya kongo,
Nashangazwa na mashabiki maandazi/shabiki lialia/shabiki mbumbumbu wanaokaza shingo bila yakua na ushahidi wowote Bali wanastori za kwenye vijiwe vya kahawa nakutamka maneno et Jean baleke alimnyima mayele asipate kiatu Cha ufungaji Bora.
Nukuu kutoka kwa shabiki wa Simba jamii forum.
"Kwa taaarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli."
Mwisho wa nukuu ya shabiki wa Simba kutoka jamii forum,
Sasa kwa taarifa yenu Jean baleke hajawahi kuwa mfungaji Bora pale Tp mazembe hii ndiyo list yenye majina yote Mbwana samata, chiko ushindi na deo Kanda ndio wapo kwenye orodha hiyo.
Kama una evidence/ushahidi wamaandiko njoo uweke hapa uthibitisho Kama baleke alikua mfungaji bora pale tp Mazembe.
"No research no right to speak"View attachment 2584549View attachment 2584550View attachment 2584551View attachment 2584553
Kama huna hoja kaa kimya Kama unanyolewa mpaka Sasa sijapata uthibitisho kutoka kwa hao wachambuzi wenu uchwara wanaosema baleke alikua top scorerSawa. Kwa Ivo unasemaje na unatakaje
Huna hoja/evidence kupinga au kuthibitisha mnachovumisha.Wivu
Link hii itakurahishia kwenda moja kwa moja.Nikifungua link ya pili inanipileka kwenye page yenye pamoja na mambo mengine,ratiba ya UEFA YA LEO sioni hiyo ya 2020/2021. Screen shot kama vipi kama kwako inafunguka vizuri
Huko Spain alikua anacheza timu gani?Mayele simuoni ...?baleke alitoka Spain ndo kaenda kwao Kucheza mpira soon akaja simba kabla hata msimu kuisha ila kaacha bao za kutosha kwao....
Jin baleke...16 April......5-0
Kwahiyo mfungaji bora alikuwa na magoli 7. Na alitoka Motema Penne aliitwa Dark Kabangu akiwa na goli 7 huku Bake akiwa na goal moja?Link hii itakurahishia kwenda moja kwa moja.
Vodacom Ligue 1 2020/2021 : Results, rankings and all statistics
Get fixtures, results, rankings and all statistics of Vodacom Ligue 1 for the 2020/2021 seasonm.footballdatabase.eu
Humo kuna full data hivyo nenda kwenye record utaona best scorer's katika huo msimu
View attachment 2584816
Mbona hatuoni statistics Kama wanavyosema wanashea links tu lakin ushahidi hakuna ni porojo tu humu.Kwahiyo mfungaji bora alikuwa na magoli 7. Na alitoka Motema Penne aliitwa Dark Kabangu akiwa na goli 7 huku Bake akiwa na goal moja?
Kwamba msimu umeisha na mfungaji bora wa timu ana goli moja.
Yeye mwenyewe hajui kasikia kutoka kwa wachambuzi wa kwenye kijiwe Cha kahawa.Huko Spain alikua anacheza timu gani?
Kwani atakapo screen shot Kuna ubaya gani ulete hapa.Link hii itakurahishia kwenda moja kwa moja.
Vodacom Ligue 1 2020/2021 : Results, rankings and all statistics
Get fixtures, results, rankings and all statistics of Vodacom Ligue 1 for the 2020/2021 seasonm.footballdatabase.eu
Humo kuna full data hivyo nenda kwenye record utaona best scorer's katika huo msimu
View attachment 2584816
Kuna nyuzi nyingi sana zimeandikwa kumuhusu Jean baleke, kiufupi zimeandikwa kiudaku pasipo kuwa na evidence yakupush agenda Kama baleke alishawahi kuwa mfungaji Bora pale kongo.
Nakataa, nakataa nakataa tena kuwa Jean baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora ligi ya kongo,
Nashangazwa na mashabiki maandazi/shabiki lialia/shabiki mbumbumbu wanaokaza shingo bila yakua na ushahidi wowote Bali wanastori za kwenye vijiwe vya kahawa nakutamka maneno et Jean baleke alimnyima mayele asipate kiatu Cha ufungaji Bora.
Nukuu kutoka kwa shabiki wa Simba jamii forum.
"Kwa taaarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli."
Mwisho wa nukuu ya shabiki wa Simba kutoka jamii forum,
Sasa kwa taarifa yenu Jean baleke hajawahi kuwa mfungaji Bora pale Tp mazembe hii ndiyo list yenye majina yote Mbwana samata, chiko ushindi na deo Kanda ndio wapo kwenye orodha hiyo.
Kama una evidence/ushahidi wamaandiko njoo uweke hapa uthibitisho Kama baleke alikua mfungaji bora pale tp Mazembe.
"No research no right to speak"View attachment 2584549View attachment 2584550View attachment 2584551View attachment 2584553h
funga golihata moja
Hii ni list ya magoli ya CAF champions league usifanye watu wajingaKuna nyuzi nyingi sana zimeandikwa kumuhusu Jean baleke, kiufupi zimeandikwa kiudaku pasipo kuwa na evidence yakupush agenda Kama baleke alishawahi kuwa mfungaji Bora pale kongo.
Nakataa, nakataa nakataa tena kuwa Jean baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora ligi ya kongo,
Nashangazwa na mashabiki maandazi/shabiki lialia/shabiki mbumbumbu wanaokaza shingo bila yakua na ushahidi wowote Bali wanastori za kwenye vijiwe vya kahawa nakutamka maneno et Jean baleke alimnyima mayele asipate kiatu Cha ufungaji Bora.
Nukuu kutoka kwa shabiki wa Simba jamii forum.
"Kwa taaarifa yenu tu alipokuwa Kwao Congo DR alimzidi Mtikisa Matiti na Mjipiga Makofi Mkononi kama Mwendawazimu kwa Ufungaji wa Magoli."
Mwisho wa nukuu ya shabiki wa Simba kutoka jamii forum,
Sasa kwa taarifa yenu Jean baleke hajawahi kuwa mfungaji Bora pale Tp mazembe hii ndiyo list yenye majina yote Mbwana samata, chiko ushindi na deo Kanda ndio wapo kwenye orodha hiyo.
Kama una evidence/ushahidi wamaandiko njoo uweke hapa uthibitisho Kama baleke alikua mfungaji bora pale tp Mazembe.
"No research no right to speak"View attachment 2584549View attachment 2584550View attachment 2584551View attachment 2584553
Ndio ilivyo, asa itafute takwimu kwenye trusted source yoyote ikimuonesha Baleke akiwa top scorer wa ligi ya Congo.Kwahiyo mfungaji bora alikuwa na magoli 7. Na alitoka Motema Penne aliitwa Dark Kabangu akiwa na goli 7 huku Bake akiwa na goal moja?
Kwamba msimu umeisha na mfungaji bora wa timu ana goli moja.
Haya Leta list ambayo inaontesha baleke kachukua ufungaji Bora pale kongoHii ni list ya magoli ya CAF champions league usifanye watu wajinga
Nakazia hakuna kitu Kama hicho na wafute kauli yao yakusema kuwa baleke alimzidi mayele magoliNdio ilivyo, asa itafute takwimu kwenye trusted source yoyote ikimuonesha Baleke akiwa top scorer wa ligi ya Congo.
Na kuhusu idadi ya magoli aliyekuwa top scorer ambaye ni Dark Kabangu kuwa na magoli 7, kama unaona haiwezekani lazima top scorer awe na goli 10+ basi nenda ufatilie msimu wa 2021/22 Makabi Lilepo kutoka As Vita alikuwa na goli tisa tu na ndiye top scorer. Hakuna ushahidi utakaopatikana Baleke kuwa kinara wa magili Congo.