Jean Baleke hakuwahi kuwa mfungaji Bora pale TP Mazembe (ligi ya kongo) Kama mnavyo danganywa/jidanganya

Link niliyokutumia Inaelezea siku zawadi zinatolewa za msimu wa 2020/2021 ninaamini kiingereza uko vizuri kiasi kwamba unaweza chukua maneno ya kifaransa ukatumia hugo kutranslate to kiingereza
 
Hii haujaweka link. Weka link mkuu
Kula chuma hicho kingine
 
Hii haujaweka link. Weka link mkuu
 
Hizo ni website tofauti tofauti ambazo ziliripoti tukio la utoaji tuzo kwa msimu wa 2020/2021 Linafoot ligi kuu DRC.
 
Ndio ile ile link. Nimesamaraizi yaliyopo kwenye link
Football database: inasema alikuwa ni mchezaji wa Js Kinshasa alimaliza na goli moja pekee.

Foot drc inasema kuwa alikuwa ni mchezaji wa Tp Mazembe alikuwa na goli 9.
Huku tambourmatin inasema kuwa Baleke alikuwa ni mchezaji wa Tp Mazembe alikuwa top scorer kwa goli 14.

Source zote hizo tatu zinapingana.

Kingine kwenye post yako namba 64 imeonesha imemnukuu Katumbi akimuongelea Baleke kuhusu swala la usajili. Na hiyo post inaonekana kuwa Baleke kuna timu alikuwepo kabla ya Tp Mazembe na baada ya kuwa top scorer ndipo Tp Mazembe ikaamua kumsajili (kulingana na post yako namba 64) hivyo post yako namba 64 inapingana na maelezo ya juu kuwa Baleke alikuwa na timu tofauti na Tp Mazembe wakati akiwa top scorer lasivyo kuwepo na ushahidi kuwa alikuwa top scorer kwa misimu miwili ( kabla ya kuja Tp Mazembe na alivyokuwa Tp Mazembe)


Je alikuwa Top scorer wa timu gani tofauti na Tp Mazembe? Na ilikuwa ni msimu upi huo?

La pili naomba nitumie link ya hiyo inayoonesha post ya Katumbi ili tuone hiyo post ilikuwa ni kuelekea msimu upi.
 
1)Unazungumzia link niliyokutumia au link ulizokuja nazo wewe?

Maana umeomba link nimekutumia ikielezea siku ambayo ligi kuu ya DRC zawadi zilikuwa zinatolewa.

Na ikasema kabisa kuwa zawadi kwa kila kipengele. Kuanzia Kipa Bora mpaka kocha bora hadi kikosi bora cha msimu. Hebu zungumzia link nilizokutumia zikielezea utoaji zawadi.

Link imeonesha ni mwezi wa 10/2021 ndio walipost zawadi za ligi kuu kwa msimu uliomalizika wa 2020/2021

2)Post ya Katumbi nimeipata kwenye twitter account ya TP Mazembe. Ni ya mwezi wa tano 2021.

Baleke alitoka JSK wakati msimu unaendelea akiongoza ligi akiwa na goli 9 by December 2020 akaenda Mazembe akaendelea na ligi mwisho wa msimu akawa na jumla ya magoli 14.
Kwa hiyo alisajiliwa ktkt ya msimu akiwa anaongoza ufungaji akaenda Mazembe akamalizia ligi pia akamalizaw mfungaji bora . Ndicho alichomaanisha Katumbi


Hizo website zako zitakuwa hazijaupdatiwa au something like that.
 
Unasemaje wewe kiande?
 

Attachments

  • 66FBD388-7BA8-48C2-9BF9-0B14A87A825B.jpeg
    27.5 KB · Views: 2
Naomba unisaidie kujibu hili kutoka kwa digital manager wenu
 

Attachments

  • 02543627-DA94-4B20-AF9F-425E57F5A97E.jpeg
    27.5 KB · Views: 3

Website nyingine ya CongoDR ikielezea siku ambayo zawadi zilitolewa na Baleke akawa mfumga bora (JSK/Mazembe).
 
Unajitahidi sana kumtetea baleke na source zako zisizo kuwa na kichwa Wala miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…