Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Enzi hizo tulikua tunamchukulia Van Damme kama muungwana fulani hivi tukawa tuna wachukia kweli waliokua wanamsumbua 😂..... especially Bolo Yang na Chi Tompo
Sema jamaa alikua hatoi msaada wa bure kwa demu lazima ammege 😂
Mwisho kabisa kwenye kila movie lazima mwamba atapiga msamba hata kama hakuna ulazima ila msamba atapiga 😂😂😂