Jean Claude Van Damme mwamba kabisa enzi zake

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Enzi hizo tulikua tunamchukulia Van Damme kama muungwana fulani hivi tukawa tuna wachukia kweli waliokua wanamsumbua πŸ˜‚..... especially Bolo Yang na Chi Tompo

Sema jamaa alikua hatoi msaada wa bure kwa demu lazima ammege πŸ˜‚

Mwisho kabisa kwenye kila movie lazima mwamba atapiga msamba hata kama hakuna ulazima ila msamba atapiga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Unaweza ukakuta anajiandaa kukimbia, lakini anakuwa amepiga msamba wakati wenzake wame bend.
Au unakuta ameshika jembe analima huku amepiga msamba. Msamba was talk of town by thenπŸ˜…
 
Unaweza ukakuta anajiandaa kukimbia, lakini anakuwa amepiga msamba wakati wenzake wame bend.
Au unakuta ameshika jembe analima huku amepiga msamba. Msamba was talk of town by thenπŸ˜…
Hiyo ndio ilikua signature yake, ilikua ni kama vile asipopiga msamba anakua sio yeye
Utakuta kaingia na demu geto, asubuhi demu anamkuta mwamba yupo barazani kauchapa msamba

Hii nayo alikua anaipenda sanaπŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • 48BFC805-1D20-4F9E-B29B-CF201A347107.jpeg
    26.4 KB · Views: 4
Mwamba kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…