Makusu hakuwa na msimu mzuri pirates alivunjika na hakirud katika kiwango chakeJean Makusu Mundele anafaa pale Msimmbazi,huo usoft wake ndo faida yake uwanjani.
Atoke kagere aje kabangusimba haiachi striker hata mmoja anaongezwa attacking midfielder mzambia anaitwa moses phiri ligi ya zambia ana goals 13 umelete makusu aje kudai mamilioni ya pesa ligi ya morroco na south africa zilimshinda kabisa. Manyama tayari so Kabaki fraga vierra kurudi basi anayeondoka ni khata na chikwende...basiiiiii
Hili kosa Simba hawawezi kurirudia tena, yanga wako mkao wa kura anytime wanafanya yao.Atoke kagere aje kabangu
simba haiachi striker hata mmoja anaongezwa attacking midfielder mzambia anaitwa moses phiri ligi ya zambia ana goals 13 umelete makusu aje kudai mamilioni ya pesa ligi ya morroco na south africa zilimshinda kabisa. Manyama tayari so Kabaki fraga vierra kurudi basi anayeondoka ni khata na chikwende...basiiiiii
Kwenda wapiKagere anaondoka