Jean Othos Baleke ni mshambuliaji bora Afrika wa wiki

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Tumeingiza wachezaji wawili kwenye kikosi bora cha wiki kwenye π‹πˆπ†πˆ π˜π€ πŒπ€ππˆππ†π–π€ π€π…π‘πˆπŠπ€

Jean Baleke anaongoza mashambulizi, Inonga anaongoza eneo la ulinzi

Yaani kwa ufupi ni kwamba Afrika nzima Baleke ndo mshambuliaji bora na Inonga ndo namba tano bora ndani ya wiki hii.
ahmedally_-20230424-0003.jpg
 
Tumeingiza wachezaji wawili kwenye kikosi bora cha wiki kwenye π‹πˆπ†πˆ π˜π€ πŒπ€ππˆππ†π–π€ π€π…π‘πˆπŠπ€

Jean Baleke anaongoza mashambulizi, Inonga anaongoza eneo la ulinzi

Yaani kwa ufupi ni kwamba Afrika nzima Baleke ndo mshambuliaji bora na Inonga ndo namba tano bora ndani ya wiki hiiView attachment 2598731
Halafu wala haturingi.

Katika timu 16 katika mashindano yote mawili ya CAFCL na CAFCC, ni timu 3 tu ndiyo zimeweza kushinda nyumbani halafu watu wanabeza ushindi wa Simba tena dhidi ya bingwa mtetezi.
 
[emoji3061][emoji3061][emoji3061]muwage na aibu hata kidogo basi
 
Mkuu rudi jukwaa la Arsenyanus tumemiss uchambuzi kama huu.
 
Back
Top Bottom