Halafu wala haturingi.Tumeingiza wachezaji wawili kwenye kikosi bora cha wiki kwenye ππππ ππ ππππππππ ππ ππππ
Jean Baleke anaongoza mashambulizi, Inonga anaongoza eneo la ulinzi
Yaani kwa ufupi ni kwamba Afrika nzima Baleke ndo mshambuliaji bora na Inonga ndo namba tano bora ndani ya wiki hiiView attachment 2598731
[emoji3061][emoji3061][emoji3061]muwage na aibu hata kidogo basiHalafu wala haturingi.
Katika timu 16 katika mashindano yote mawili ya CAFCL na CAFCC, ni timu 3 tu ndiyo zimeweza kushinda nyumbani halafu watu wanabeza ushindi wa Simba tena dhidi ya bingwa mtetezi.
π emoji ya aibu ndo hii?[emoji3061][emoji3061][emoji3061]muwage na aibu hata kidogo basi
Yeah.Ukikosa unacho kipenda, penda unacho kipata
AiseeTulia wewe sisi ndio wakubwa afrika nzima
Kama inauma chomoa au weka kilainishi