Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Congo ya ubelgiji ilipopata uhuru wake mwaka 1960,nchi ilijikuta kwa haraka sana katika vita vya wenyewe kwa wenyewe Mamia ya wazungu waliokuwepo huko waliwekwa kizuizini kama mateka, Belgium ikatuma wanajeshi kuwaokoa watu hao.
jimbo tajiri la katanga na sehemu ya mashariki mwa Kasai yalijaribu kujipatia uhuru wake wenyewe yani yajitenge kwakuwa yalikuwa na utajiri wa copper, cobalt na diamonds, hii ilipelekea machafuko mwaka 1965, Colonel Mobutu akawa rais na July 3, 1967 Jean Schramme akaanza kuongoza uasi katika jimbo la Katanga dhidi ya Mobutu na akajitangaza kuwa rais wa Congo
Mobutu alilaani vikali kitendo hiki mbele ya Mkutano mkuu wa umoja wa mataifa na alisema kwakuwa huyu mtu ni mzungu ndio maana amepata jeuri ya kufanya haya akauliza je mtu mweusi akienda ulaya akajitangaza kuwa Rais vyombo vya habari vingempa support kiasi kama walichompa huyu mwenzao mzungu na mwisho aliapa kwamba yeye (mobutu) nafasi yake ya Urais haijawahi kutikiswa na yeyote hivo atamshughulikia na hatovumilia dharau hiyo na mwisho alimshughulikia kweli na kufanikiwa kuzima uasi Congo na akawa mtu aliyeipatia Congo amani
Sent using Jamii Forums mobile app