"Jeans" ambayo imepewa Jina la Balenciaga Men Destroyed

Muda si mrefu Diamond ataenda kuinua huo mzigo na kuja kututambishia kule insta.
 
Pesa ndio mchawi wa Dunia

Hkn kingine kuzidi pesaa ktk Dunia tunayoishii ..

Na zitauzika tu nani anabishaaa..
 
Sina hela hiyo,na hata ningekuwa nayo nisingenunua huo upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…