Jeans la Kocha Mgunda

Wakamwambia mbona hata macho yake yanaonyesha kuwa yeye mshirikiiina...
Akajibu akawaambia, la hasha! Je macho yenu yaweza kuona lililo ndani ya moyo wa mtu? Amin Amin nawaambia muonavyo ninyi si kama aonavyo yule aliyemtuma.
 
wanakuwa nazo nyingi, sasa huo mwili atavaa nini zaidi
 
Akajibu akawaambia, la hasha! Je macho yenu yaweza kuona lililo ndani ya moyo wa mtu? Amin Amin nawaambia muonavyo ninyi si kama aonavyo yule aliyemtuma.
Nao walipokwisha kusikia hayo wakasemezana wakisema " hakika ni pepo anazungumza ndani ya mtu huyu"
 
Nao walipokwisha kusikia hayo wakasemezana wakisema " hakika ni pepo anazungumza ndani ya mtu huyu"
Lakini haya yote yametokea ili lipate kutimia lile neno lililoandikwa nabii hana heshima kwao
 
Guo la kazi hilo kama vipi ombeni Mtani jembe basi ili tuwatoneshe kwenye mshono wa waarabu.... 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…