Jebra Kambole: Hatma ya CHADEMA sasa mikononi mwa wajumbe

Jebra Kambole: Hatma ya CHADEMA sasa mikononi mwa wajumbe

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hii ni baada ya mwamba kukomaa ki Yoweri Kaguta Museveni:

IMG_20241230_205006.jpg

Kwamba wajumbe hawa, ambao wengi wao nao ni watia nia kwenye ubunge na udiwani uchaguzi mkuu 2025, wajue bila watu, kura zao zinabeba hatima zao wenyewe.

Maneno mazito kabisa haya kutokea kwake wakili msomi Jebra Kambole.
 
Mbowe ajue kuwa wajumbe 1200 wanaweza kumpa uenyekiti lakini wajumbe hao 1200 hawana uwezo wa kuipa Chadema madiwani,wabunge na kura za kutosha za Urais,labda ana Bank katika nusu mkate aliyoahidiwa na Samia,ila ajue Mbatia aliwahi kuahidiwa wabunge 20 na Magufuli lakini wote tuliona ahadi hiyo ilivyoyeyuka kama tofauti la barafu kwenye jua kali.
 
Hivi Kibatala yeye yuko upande gani? Wenzake maarufu kama yeye tayari wameonesha ni upande gani wanaunga mkono
 
Sasa kama wajumbe hao wengi wao ni watia nia kwa nini wasimtose mbowe kwenye kura ili hatima zao za kugombea ubunge ziwe njema? Mtaji wa kura zao kwenye ubunge ni lissu wamchague. Waachane na habari ya nusu mkate
 
Hii ni baada ya mwamba kukomaa ki Yoweri Kaguta Museveni:

View attachment 3189151

Kwamba wajumbe hawa, ambao wengi wao nao ni watia nia kwenye ubunge na udiwani uchaguzi mkuu 2025, wajue bila watu, kura zao zinabeba hatima zao wenyewe.

Maneno mazito kabisa haya kutokea kwake wakili msomi Jebra Kambole.
kazi anayo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi alie na mitandao ya kijamii huku akiwananga wajumbe 🐒
 
kazi anayo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi alie na mitandao ya kijamii huku akiwananga wajumbe 🐒

Ukiona CCM wanakuona kibaraka ujue umewashika pabaya.

No wonder:

Gf8b-vhawAEan-I.jpeg

Au nasema uongo?
 
naona umempost statesman, mwamba wa kaskazini, mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa 2025-2030, Freeman Aikaeli Mbowe,

umetisha sana gentleman mapema kabisa asubuh asubuh 💪👊
Hawala la marabu limeuza bandar zetu huku majingamajinga yakishangilia 🪛 🪛 🪛 🪛
 
Hii ni baada ya mwamba kukomaa ki Yoweri Kaguta Museveni:

View attachment 3189151

Kwamba wajumbe hawa, ambao wengi wao nao ni watia nia kwenye ubunge na udiwani uchaguzi mkuu 2025, wajue bila watu, kura zao zinabeba hatima zao wenyewe.

Maneno mazito kabisa haya kutokea kwake wakili msomi Jebra Kambole.
Wajumbe wanasimama na Mbowe
 
Back
Top Bottom