Jedwali la RA: Nani hayumo?

Dau ni mwizi...kibaka..fisadi....na watu wote wanaomtetea ukiwemo wewe (unajijua ni nani) ni mafisadi. Mfe kifo cha mateso wote nyie na mwende motoni mkaungue kwa milele. I hate you all.
 
dau ni mwizi...kibaka..fisadi....na watu wote wanaomtetea ukiwemo wewe (unajijua ni nani) ni mafisadi. Mfe kifo cha mateso wote nyie na mwende motoni mkaungue kwa milele. I hate you all.

inna illah wainalilah rajoon
 

Kwa hio mkuu tunaweza kusema kwamba RA huwa anashiriki kupanga cabinet ya serikali!
 
Na mimi nachangia jedwali langu kama lifuatavyo:

3. Dr Idris Rashidi=BOT+NBC= ACB(Akiba Commercial Bank)
Kwa hio, ACB+TANESCO=TMF(Tanzania Mtaji Fund)

NB:
Dr Rashid alikuwa mjumbe wa bodi ya REPOA mwaka 2006, akitokea TMF.
 

Kuna mapungufu kwenye habari hii Benno Malisa hakusaidiwa na Rostam kwenye nafasi ya umakamu wa mwenyekiti wa Uvccm,fuatilia au uliza utapata habari kwa waliofuatilia uchaguzi wa Uvccm.inajulikana kila kona kuwa Hussein Bashe ndio alikuwa kijana wa Rostam anatoka Tabora na ndiye alikuwa akipambana na Benno Malisa kwenye uchaguzi wa Uvccm desemba na kuleta upinzani wa hali ya juu.kwa maelezo yako hapa kuwa Benno alikuwa mtu wa Rostam sikubaliani nawe huna source ya uhakika kwenye hili.
Adam Malima sio kweli kuwa alisaidiwa na Rostam wala hakuwa mtu wa Rostam.

Kakalenda kasema kuwa 1994 Rostam alikuwa kapuku,1994 hiyo hiyo prof Kapuya alikuwa kwenye harakati za kampeni za ubunge na mwaka uliofuatia akawa mbunge/waziri.hakuna conection hapa.au kusema kuwa Kapuya alipata ubunge kupitia kwa Manji nalo halina msingi 1994 Manji hakuwepo kwenye ramani ya wafanyabiashara wenye kujulikana ilikuwa baba yake na si yeye.

DR.Idrissa alikuwa gavana wa BOT na mkurugenzi mkuu wa NBC kabla ya Mkapa kuwa rais au kuwa Vodacom na Akiba bank Ltd,hilo nalo uzingatie.
Lowassa ni mtu wa karibu na Rostam kwa miaka mingi anaingia wapi kwenye jedwali hili?

Emmanuel Nchimbi ndio waliokula fadhila za uchaguzi toka kwa Rostam 2005 DR.Gama anaweza kukupa ushahidi vizuri juu ya hili na ugawaji wa simu za mkononi kwenye uchaguzi songea mjini.

William Ngereja ni mwanachama wa Victoria Club kama unaijua ambayo moja ya majukumu yake kutafuta vijana wa kanda ya ziwa wenye uwezo wa kuongoza mwaka 2005 club hii ilikuwa na zaidi ya milioni 200 kufanikisha azma hiyo jee Rostam yumo humo? swali hili sote tutafute jibu,
A
 

Umemaliza kila kitu Mtanzania kwani hata timing ya mjadala huu umekuja wakati mbaya.

inawezekana mleta mada akawa hana uhusiano na Tajiri Mengi lakini ni vigumu kuamini kuwa mawazo yake haya hayajaathiriwa na kauli ya Mengi dhidi ya mafisadi papa.

vyema Mwanakijiji ungeweza soma makala ya Jackson Manyerere Gazeti la Mtanzania Jumapili hii 26.04.09 amehoji mambo mengi juu ya kauli ya bwana Mengi mfano jee Gavana wa BOT ambaye alikuwa Mtanzania mzalendo vipi asilaumiwe kwa uzembe wake kazini na uzembe wake wabebeshwe mafisadi papa?
Katibu mkuu wa Hazina alishindwa kufanya kazi yake jee Manji au Rostam wanahusika vipi na uzembe wa Mgonja? Ununuzi wa rada na ndege ya serikali huko Rostam anahusika vipi?

tusitafute mchawi au wachawi tujitizame sisi wenyewe kwanza.ubaya zaidi mjadala kama huu umeingiliwa na mapenzi ya vyama kama inavyosemwa kuwa MENGI ni mfadhili wa helkopta chadema na Rostam ni mfadhili wa wana ccm,kabla ya Kagoda kwa Rostam kama inavyosemwa pia MENGI alichukua pesa NBC na hajalipa hadi sasa toka 1990s.Ukweli wetu nje ya Rostam uko wapi?

kutokana na nukta hapo juu inakuwa vigumu kwetu sisi wafuasi kuwa neutral kwenye michango yetu humu jf kwani tumejikita kwenye ushabiki wa vyama au timing ya mjadala sio nzuri.
 
Wa Tanzania wote: D Biashara.

Labda uwe hujawahi kutumia Voda kupiga au kupigiwa au hujawahi kunywa chai, kwani kote yumo.

Mwanakijiji unakumbushwa kwaya mimi hii thread yak inanikumbusha rusha ro '' kama unaweza, panda juu nenda ukazibe''
 
 
hayupo kwenye jedwali la RA

Mkuu, kama alikuwa mgombea Mwenza 2005, halafu tumejadili hapa kwamba CCM ilifadhiliwa na RA pamoja na mafisadi wa aina yake,ni ktk mfumo huo huo naye alifaidika ama direct au indirect katika ushindi wa Kishindo walioupata! Au unataka kusema hajui kwamba walihisaniwa na nani kwenye hili?
 

Ukifanya hivi unaweza kutoa majibu ya maswal mengi ambayo yananitatiza..
 
- Mzee Ndejembi - Rostam alimpa Shillingi Millioni 10 mwaka 2000 zilizomuwezesha kushinda Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma - kundi A.

FMES!
 
1. Abdulaziz - RC.
2. Lukuvi - RC.
3. J Mongella - DC.
4. Membe - Ubunge.
5. Mzindakaya - Ubunge.
6. Nyami - Ubunge.
7. Sita - Ubunge & U-spika.
8. Mahanga - Ubunge.
9. Guninita - CCM Mkoa.
10. Kamala - Ubunge.
11. Marmo - Ubunge.

- Hawa wote hapo juu wamepewa hela za Kagoda na Rostam, ili kushinda nafazi zao za ubunge na uongozi wa CCM. Tunaendelea kukumbuka pole pole!

FMES!
 
- Mzee Ndejembi - Rostam alimpa Shillingi Millioni 10 mwaka 2000 zilizomuwezesha kushinda Uenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma - kundi A.

FMES!

Nilifikiri Wagogo ni watu wa Dini sana. Kumbe kwa Wagogo pia kuna "vyura wanaomeza..."
Asanteni kwa data. Mwaka huu watajifunza kunawa kabla ya kula.
 
Nilifikiri Wagogo ni watu wa Dini sana. Kumbe kwa Wagogo pia kuna "vyura wanaomeza..."
Asanteni kwa data. Mwaka huu watajifunza kunawa kabla ya kula.

- Ufisadi hauna kabila wala rangi, so far sijamuona fisadi aliye Albino tu!

FMES!
 

- ufisadi hauna kabila wala rangi, so far sijamuona fisadi aliye albino tu!

Fmes!

mkuu fmes umenifurahisha hapa..🙂 ila tukumbuke jedwali hili bado liko fresh less than 2 days so tuone mbele ya safari kama albino fisadi ataibuka ama la..
 

Fanya fasta maana sikuzote huwa anasahaulika huyu.
 
1. Abdulaziz - RC.

3. J Mongella - DC.

- Hawa wote hapo juu wamepewa hela za Kagoda na Rostam, ili kushinda nafazi zao za ubunge na uongozi wa CCM.

Mkuu, nisaidie kidogo hapo. Hao wakuu wawili hapo waligombea na kushinda viti gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…