Jee binaadamu anaweza kujiwekea sheria na wakati huo huo akawa na amani, haki na mapenzi baina yao

Jee binaadamu anaweza kujiwekea sheria na wakati huo huo akawa na amani, haki na mapenzi baina yao

azzurre

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
107
Reaction score
96
Ndugu wana JF
Binaadamu ni kiumbe ambae ameubwa mwisho kwa mujiwibu wa vitabu vya dini, kabla ya hapo duniani kulikuwa na viumbe wengine (majini nk), cha ajabu, Muungu aliweka kila kitu kinachotakiwa na binaadamu ili kumfanya aishi na kuyakabili mazingira ya dunia (alifanya hivyo bila ya kuulizwa binaadamu nini anatataka awekewe katika dunia) lakini baada ya kuletwa hapa duniani binaadamu anafurahia kila alichokikuta hapa ulimwenguni(hapa uta gundua kwamba Mungu anafahamu zaidi nini binaadamu anataka kuliko binaadamu mwenyewe na ndio maana mungu hakumuuliza binaadamu wakati wa kujaza vitu hapa duniani) mfano kwa tasnia ya Masoko(marketing) nadharia kubwa ni "Kuanda Product itakayo meet customer need, kwa sababu ndio bidha hii itapelekea Customer satsfaction, cha ajabu producer anaweza kutengeneza bidha ambayo watu wataipenda lakini watu hao hawa kumueleza producer kwamba tunataka bidha husika" hivyo hapa tunaona kwamba producer anafahamu zaidi nini customer anataka zaidi ya Customer mwenyewe.
Kwa mfano huu, Mungu anajua zaidi nini binaadamu anataka, kuliko binaadamu mwenyewe, na ndo maana baada ya Kuletwa ADAM ulimwenguni, Mungu alimpa muongozo ambao aki ufuata kamwe hato potea yeye na kizazi chake, na utaratibu huo Muungu aliendelea na mpaka kufika Jesus na Mwisho kufika Kwa Muhammad (s.w), katika vitabu na kumbukumbu zinaonyesha dhahiri wapi walifanikiwa na wapi hawakufanikiwa baada ya kufuata/kutofuata muongozo kutoka kwa Muungu.
Binaadamu amepewa akili ya kujipangia baadhi ya mambo lakini sio yote, kwa mfano kuweka utaratibu wa muongozo wa magari katika barabara, ufundi nk lakini katika kuhakisha kuwa wanaadamu wanaishi vizuri muungu ameweka sheria kuhusu mambo muhimu ambayo binaadaamu mwenyewe (kama ataachiwa atunge sheria mwenyewe kama tunavyo fanya sasa hivi hatoweza kutenda haki na kuifanya dunia kuwa sehemu muhimu na tamu kwa kuishi), hivyo sheria kuu za jamii yeyote lazimazifuate, sheria za Muungu ijapokuwa binaadamu hujifanya mjanja sana
Napenda wana JF musome huu mfano ambao upo chini hapa alafu utanipa Comment
" Jaalia tumeletewa gari na kampuni ya Toyota, ambayo imetengenezwa kwa ajili ya kukabili mazingira ya Tanzania, kampuni ikaamuwa kuleta na Mhandisi wa gari husika ili asaidie kiutunza,na kufanya kazi na kuishi kwa muda mrefu na wakati huo huo kampuni ya Toyota ikaweka Catalogy ya gari hii, ili kurahisisha utendaji kazi wake kwa kila siku, jaalia Mhandisi amekaa Tanzania mpaka amefariki, na baada ya muda watu wakaaza kubishana kutokana na Gari husika kwa nini Haitembei barabarani, watu wakaja na kila alternative, wengine wasema sehemu ya mafuta tia maji, wengine tia mkojo nk na sehemu maji tia mafuta nk, ikawa shagala bagala, hivyo ikawa sababu ya kutokutembea kwa gari, suala ni yupi/ wapi kati ya hao wanaoshindfana anaakili zaid baina
1. Wanaokuja na alternative za kutumia akili zao (binaadamu km vile ndoa sa jinsia moja,kuhalalisha riba, haki za watoto,haki za wanawake nk kwa kutumia akili zao)
2. Kurudi katika Catalogy ambao tumepewa, ili tuisome na kuifuata tu na kuifanya gari itembee kama mwanzo ( kufuata vitabu vitukufu).
namalizia kwa kusema
" Dunia haitokuwa sehemu bora ya kuishi pasipo watu kufuata sheria za Muungu, ndo maana waislamu sehemu mbali mbali ulimwenguni wanaouliwa kwa kutaka tu ifuatwe Catalogy ya Gari kwa vile Mhandisi aliyeletwa na Kampuni amefariki lakini wale wanaotumia akili zao kwa maslahi yao na mapenzi ya nafsi zao kwa kuogopa wanawapiga vita na kupewa majina tofauti kama Magaidi, waislamu wenye msimamo mkali, nk hata hapa Tanzania ndi ivo ivo
Conclusion
Ever never hatutokuwa na maisha ya amani, upendo, utulivu wa moyo mpaka pale tutakapo wacha kufuata sheria za binaadamu katika mambo ambayo Muungu ameshatuekea sheria
 
Back
Top Bottom