PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Mar 8, 2010 #2 jamani...mmmh! Usikute ni fasheni mpya ya wadada... Bongo watagombea hii makitu kama njugu!
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,039 Reaction score 7,465 Mar 8, 2010 #3 hee!! wadada wetu wakitinga hizi mbona balaa kwenye daladala......kutakuwa na kesi za ubakaji nyingi sana.
hee!! wadada wetu wakitinga hizi mbona balaa kwenye daladala......kutakuwa na kesi za ubakaji nyingi sana.
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,288 Mar 11, 2010 #4 PakaJimmy said: jamani...mmmh! Usikute ni fasheni mpya ya wadada... Bongo watagombea hii makitu kama njugu! Click to expand... Du! wacha ije na huku kwetu, itakuwa noma!
PakaJimmy said: jamani...mmmh! Usikute ni fasheni mpya ya wadada... Bongo watagombea hii makitu kama njugu! Click to expand... Du! wacha ije na huku kwetu, itakuwa noma!