Elections 2010 Jee mtuhumiwa wa wizi wa kuku waweza kumchagua kuwa balozi wako?

Elections 2010 Jee mtuhumiwa wa wizi wa kuku waweza kumchagua kuwa balozi wako?

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Posts
16,508
Reaction score
11,897
Ningependa kuuliza wana jf,kwenye fomu za kuwania ubunge hakuna kipengele cha- jee umewahi kushtakiwa kwa kosa la jinai?nashangaa kikwete ni kiongozi wa serikali na kila siku anatamba kesi za mafisadi zinashughulikiwa.yeye huyo huyo ana mnadi mramba ambaye kaiingizia serikali hasara ya bil 11 kuwa ni mtu safi, si bora amwamuru mwanasheria mkuu aifute kesi?watanzania tuamkeni hii nchi zaidi ya miaka 50 waliotumaliza inatosha.
 
Back
Top Bottom