Jee ni kitoweo, ama ni order ya mganga?

Jee ni kitoweo, ama ni order ya mganga?

Mganga mwenyewe si anaweza akatimua mbio akiona mnamletea hilo dude!
 
Sidhani kama ni kitoweo. Kuna channel inaitwa National Geography icheki utaona watu wenye proffesion zao wanavyokamata nyka, jamaa wapo kazini labda wanampelekea researcher
 
Ah! Ukipata mchemsho wa hiyo kitu ni bomba jamani we acha tu hata thamaki thangara cha mtoto!
 
...Dili hilo, wanauzia wafuga nyoka (Banunguli)
 
Back
Top Bottom