Jee, unampenda? kama ndio, Christmas yaja mtayarishie hii zawadi.

Zilipendwa sana hiyo unaona umevumbuaeeeeee
 
krismas mbali, nataka now
gf ananisumbua mno
 
Hahahaaa..... Hiyo zawadi ni CHIBOKO...
 
zawadi hyo jiangali usije kosa unyumba msimu wote wa sikukuuu.
 
kwani zawadi mpka X-mas jamani!hapa umeibua mjadala mwingine!hivi ni sahihi kusubirir mpaka matukio ndo tupeane zawadi?eti wadau!
snowhite sio sahihi, ni ulimbukeni tu!
 
Last edited by a moderator:
kwani zawadi jama mpaka tukio??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…