*JEE WAJUAAAAAAAAA

poisson

Senior Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
130
Reaction score
42
Uchawii sio kushika Tunguli tu na kwenda kuwangaaa....[emoji250]

Kukaa online bila hata salam nayo ni UCHAWII[emoji35]

Kusoma msg za watu wanavyochat na Profile nao ni UCHAWII[emoji51]

Kukenua mpka jino la mwsho kwa msg za kuchekesh na uc comment nao ni UCHAWII[emoji57][emoji57]

Kujaza wingi kwa Group kila link unayoona wakat hijawah kupost hata hewa uo nao ni UCHAWII[emoji274]

Kukaa kimya mda wote wakat upo online ukafikiri una mkomoa Admn wakat bando ni lako uo nao ni UCHAWII[emoji38][emoji38]

Ongezaa uchawii mwingine unaoujua...........
 
Kusoma dp za watu nao ni uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…