ituganhila
Member
- Aug 25, 2009
- 24
- 0
huyo huyo unashangaa nini ..jamaa ni strategist sana hata hayo ya EPA atashinda tu ...mi ndio maana nimejiamulia kukaa kimya juu ya mambo ya sarakasi za hii nchi
Kuna jamaa alikuwa Keko na Jeetu Patel wakati wa sakata la EPA anasema yule mzee anaujua udhaifu wa serikali yetu vizuri sana. Alimwambia hivi " Fulani (jina silitaji) nataka nitoke Keko nichukue pesa zingine. Zipo nyingi na wakubwa serikalini wananibembeleza nizichukue". Wajinga ndio waliwao.

Huyu jamaa ni mtuhumiwa na si-muhalifu, Tanzania ni inchi inayofuata sheria...innocent til proven guilt.
wewe ukiwa mfanyakazi, ukasimamishwa kazi utaruhusiwa kusafiri kikazi sababu wew ni mtuhumiwa? au utaruhusiwa kwenda training? si mwajiri wako atachukua tahadhari ya uamuzi kuwa chanya au hasi?Huyu jamaa ni mtuhumiwa na si-muhalifu, Tanzania ni inchi inayofuata sheria...innocent til proven guilt.
Nimesoma habari kuwa Jeetu Patel ameshinda zabuni ya kuleta matrekta yenye thamani ya bilioni 50 toka ambayo ni mkopo wa serikali ya India kwa Tanzania. Mkopo usio na riba. Sikuelewa hapo inamaana ni Jeetu Patel yule aliye kwenye kesi ya EPA au mwingine?? TUTAFIKA katika mapambano ya makali haya ya kuwabana watu walionatuhuma za kukwapua mablioni ya TZ!! Je si vema kususa hata biashara nao?? 😕